Pre GE2025 Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Ni Mbowe au Lissu

  • Mbowe

    Votes: 179 14.7%
  • Lissu

    Votes: 1,038 85.3%

  • Total voters
    1,217
  • Poll closed .
MWAKA 1961 TANGANYIKA IKIPATA UHURU.

BABA WA TAIFA ALIWATAJA MAADUI WAKUU WA TATU WA TAIFA.
1. UMASIKINI.
2. UJINGA.
3. MARADHI.

AKAMALIZA KWA KUSEMA "MAADUI HAWA NI MAADUI KWELI KWELI NA SI MAADUI WA DHIHAKA"
JK NYERERE
 
kwanza kabisa ieleweke kwa wadau kwamba siwezi kuumizwa na kitu kisichoumiza,


Lakini pili,
ni mapema mno kuzungumza chochote, ila kwa kifupi tu Chadema imeinguliwa na mapepo ya mafarakano, kiburi na midomo makelele 🐒
Bubujikwa na mikojo we kada
 
Sina hakika. Nauona huu chaguzi ni kati ya RUSHWA VS KUJITAMBUA.
wajumbe wengi wa chadema wanaishi maisha below the poverty line. Uwezekano mkubwa ni rushwa itashinda
Hongera Tundu hakikisha kanda ya kati inatawaliwa na CHADEMA ubunge na udiwani
 
kuna watu ubongo wenu upo kwenye utumbo mpana mafi yapo kichwani
 
Kuna watu vichwa vyao ni kama buyu kubwa la kuhifadhia kamasi.
 
1.Wafuasi
Vijana
2.Uchumi
wanachukia wawekezaji
3.Haki za binadamu
Wanatetea haki za binadamu ukiwemo ushoga
4. Mihemuko
wanapenda siasa za mihemuko
 
kwanza kabisa ieleweke kwa wadau kwamba siwezi kuumizwa na kitu kisichoumiza,


Lakini pili,
ni mapema mno kuzungumza chochote, ila kwa kifupi tu Chadema imeinguliwa na mapepo ya mafarakano, kiburi na midomo makelele 🐒
Jana uliaminisha Umma kuwa Mbowe ameshashinda nafasi ya uwenyekiti Chadema na kwa sasa upo live wananchi wanataka wakuskie vipi unazungumziaje kauli yako hiyo uliyotoa kabla ya matokeo 🎤
 
Lisu kapata Kura ngapi?
 
tuondoe tofauti zetu namkaribisha yeriko nyerere aendelee kuwa mstari wa mbele kabisa
Hata Wenje,Boni Yai na makundi yaliyotokama na mbilinge mbilinge la chaguzi tupandishe tanga safari iendelee,mawimbi ni mengi ila ushindi dhidi ya mawimbi yasiyoya asili na yakutengenezwa ni wetu.Kamwe adui tusimpe nafasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…