Kwanza kabisa,Jana uliaminisha Umma kuwa Mbowe ameshashinda nafasi ya uwenyekiti Chadema na kwa sasa upo live wananchi wanataka wakuskie vipi unazungumziaje kauli yako hiyo uliyotoa kabla ya matokeo 🎤
Kuna watu vichwa vyao ni kama buyu kubwa la kuhifadhia kamasi.
Uzuri ni kuwa ninachokifahamu ni kwamba mwenyekiti mupya amewachoropoa wahuni wote mapangoni tangu wa ndani na wale wa mapango ya mboga mboga.Mwendo ni kung'oa visiki tu.Kwanza kabisa,
kauli zangu zote zichukuliwe kwa uzito unaostahili kwasababu ni za kitaalamu zaidi na nimuhimu sana kwa wanaojifunza na wanaotaka kuongeza uelewa na ufahamu wa masula ya siasa hususan za Tanzania.
Jambo la pili,
wabobevu katika masuala haya hatunaga haraka wala hatubabaiki kutoa maelezo ya kina juu ya mambo yaliyotokea na yatakayotokea baadae,
Nachelea kusema,
ni mapema mno, lakini nitaeleza kwa kina jambo hili muhimu sana gentleman 🐒
Watazamaji wanataka kujua ni kwanini haukutamani Lissu ashinde uwenyekiti wakati wewe ni mfuasi wa Ccm au ulitaka mbowe aendelee kwakua alikua mpinzani dhaifu ambae Ccm mnammudu🎤Kwanza kabisa,
kauli zangu zote zichukuliwe kwa uzito unaostahili kwasababu ni za kitaalamu zaidi na nimuhimu sana kwa wanaojifunza na wanaotaka kuongeza uelewa na ufahamu wa masula ya siasa hususan za Tanzania.
Jambo la pili,
wabobevu katika masuala haya hatunaga haraka wala hatubabaiki kutoa maelezo ya kina juu ya mambo yaliyotokea na yatakayotokea baadae,
Nachelea kusema,
ni mapema mno, lakini nitaeleza kwa kina jambo hili muhimu sana gentleman 🐒
Watazamaji wanataka kujua ni kwanini haukutamani Lissu ashinde uwenyekiti wakati wewe ni mfuasi wa Ccm au ulitaka mbowe aendelee kwakua alikua mpinzani dhaifu ambae Ccm mnammudu🎤
huo,Uzuri ni kuwa ninachokifahamu ni kwamba mwenyekiti mupya amewachoropoa wahuni wote mapangoni tangu wa ndani na wale wa mapango ya mboga mboga.Mwendo ni kung'oa visiki tu.
Kama miaka 21 hilo halikutokea kwanini litokea sasa wakati ari nia na nguvu ni toshelezi zaidi?huo,
ndio mwanzo wa kuharibu kazi za wananchi gentleman 🐒
Relax gentleman,Bubujikwa na mikojo we kada
uropokaji na uhaba wa hekima na busara za uongozi ni hatari kwa umoja wa chama cha siasa gentleman 🐒Kama miaka 21 hilo halikutokea kwanini litokea sasa wakati ari nia na nguvu ni toshelezi zaidi?
Labda uwafafanulie watazamaji unasema haukua na tamaa ya yoyote kushinda je ni kwanini ulisema mbowe kashashinda kabla ya uchaguzi?🎤Gentleman,
ni vizuri kujiepusha na upotoshaji gentleman,
sikua na tamaa na yeyeto kushinda chochote Chadema. Yewezekana wewe pamoja na wengine tulitofautiana maoni dhidi ya wagombea uongozi, na hiyo sio dhambi bali ni afya na ustawi wa kidemokrasia katika jamii.
Mimi ni mtaalamu mshauri wa masuala ya kisiasa ndani ya vyama vya kisiasa nchini Tanazania.
Nitaendelea kuwa elimisha wadau wa siasa kadiri nitakavyokua napata fursa na nafasi ya kufanya hivyo.🐒
Kweli akili ni nywele na kila mtu ana zake.Hakika Lissu sasa making ya shingo, wana chadema wanaimba kwa sauti kuu wakisema chama chao hakitaenda ubelgiji.
Hizi dalili mbaya sana kwa Lissu ambaye ametumia mabilioni katika uchaguzi huu
Tumeelewa sababu ya yeye kuondoka. Alilazimishwa kuondokaYaani kwamba msigwa arudi na watu wamuamini tena?
Unaona aibu ukiwa wapi ndugu?Hakika Lissu sasa making ya shingo, wana chadema wanaimba kwa sauti kuu wakisema chama chao hakitaenda ubelgiji.
Hizi dalili mbaya sana kwa Lissu ambaye ametumia mabilioni katika uchaguzi huu
Ufafanuzi na Maelezo ya kisayansi wakati mwingine yanaweza kuchanganya watu gentleman,Labda uwafafanulie watazamaji unasema haukua na tamaa ya yoyote kushinda je ni kwanini ulisema mbowe kashashinda kabla ya uchaguzi?🎤
😁😁😁Unavyopangilia majibu kama mtu serious kweli!Ufafanuzi na Maelezo ya kisayansi wakati mwingine yanaweza kuchanganya watu gentleman,
but pole pole tunaweza kuelewana kadiri muda unavyosonga.
Binafsi huwa sina tamaa kabisa na chochote na si mtu wa kusema mambo yasiyo ya kitafiti 🐒
Mungu mbariki TlMungu ibariki Chadema