Pre GE2025 Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Ni Mbowe au Lissu

  • Mbowe

    Votes: 179 14.7%
  • Lissu

    Votes: 1,038 85.3%

  • Total voters
    1,217
  • Poll closed .
Jana uliaminisha Umma kuwa Mbowe ameshashinda nafasi ya uwenyekiti Chadema na kwa sasa upo live wananchi wanataka wakuskie vipi unazungumziaje kauli yako hiyo uliyotoa kabla ya matokeo 🎤
Kwanza kabisa,
kauli zangu zote zichukuliwe kwa uzito unaostahili kwasababu ni za kitaalamu zaidi na nimuhimu sana kwa wanaojifunza na wanaotaka kuongeza uelewa na ufahamu wa masula ya siasa hususan za Tanzania.

Jambo la pili,
wabobevu katika masuala haya hatunaga haraka wala hatubabaiki kutoa maelezo ya kina juu ya mambo yaliyotokea na yatakayotokea baadae,

Nachelea kusema,
ni mapema mno, lakini nitaeleza kwa kina jambo hili muhimu sana gentleman 🐒
 
Uzuri ni kuwa ninachokifahamu ni kwamba mwenyekiti mupya amewachoropoa wahuni wote mapangoni tangu wa ndani na wale wa mapango ya mboga mboga.Mwendo ni kung'oa visiki tu.
 
Watazamaji wanataka kujua ni kwanini haukutamani Lissu ashinde uwenyekiti wakati wewe ni mfuasi wa Ccm au ulitaka mbowe aendelee kwakua alikua mpinzani dhaifu ambae Ccm mnammudu🎤
 
Katika chaguzi zote za Chadema mwaka huu ukubwa wake umeonekana dunia nzima. Hongera Tundu Lissu ,hongera Mbowe Kwa kuonesha political maturity .
 
Watazamaji wanataka kujua ni kwanini haukutamani Lissu ashinde uwenyekiti wakati wewe ni mfuasi wa Ccm au ulitaka mbowe aendelee kwakua alikua mpinzani dhaifu ambae Ccm mnammudu🎤

Gentleman,
ni vizuri kujiepusha na upotoshaji gentleman,

sikua na tamaa na yeyeto kushinda chochote Chadema. Yewezekana wewe pamoja na wengine tulitofautiana maoni dhidi ya wagombea uongozi, na hiyo sio dhambi bali ni afya na ustawi wa kidemokrasia katika jamii.

Mimi ni mtaalamu mshauri wa masuala ya kisiasa ndani ya vyama vya kisiasa nchini Tanazania.

Nitaendelea kuwa elimisha wadau wa siasa kadiri nitakavyokua napata fursa na nafasi ya kufanya hivyo.🐒
 
Uzuri ni kuwa ninachokifahamu ni kwamba mwenyekiti mupya amewachoropoa wahuni wote mapangoni tangu wa ndani na wale wa mapango ya mboga mboga.Mwendo ni kung'oa visiki tu.
huo,
ndio mwanzo wa kuharibu kazi za wananchi gentleman 🐒
 
Kama miaka 21 hilo halikutokea kwanini litokea sasa wakati ari nia na nguvu ni toshelezi zaidi?
uropokaji na uhaba wa hekima na busara za uongozi ni hatari kwa umoja wa chama cha siasa gentleman 🐒
 
Gentleman,
ni vizuri kujiepusha na upotoshaji gentleman,

sikua na tamaa na yeyeto kushinda chochote Chadema. Yewezekana wewe pamoja na wengine tulitofautiana maoni dhidi ya wagombea uongozi, na hiyo sio dhambi bali ni afya na ustawi wa kidemokrasia katika jamii.

Mimi ni mtaalamu mshauri wa masuala ya kisiasa ndani ya vyama vya kisiasa nchini Tanazania.

Nitaendelea kuwa elimisha wadau wa siasa kadiri nitakavyokua napata fursa na nafasi ya kufanya hivyo.🐒
Labda uwafafanulie watazamaji unasema haukua na tamaa ya yoyote kushinda je ni kwanini ulisema mbowe kashashinda kabla ya uchaguzi?🎤
 
Nani atawafuta machozi hawa dada zetu.
Baba mlezi amekubali matokeo,ila nawaamini ni wapambanaji ,watakuja kivingine na bila shaka watarudi bungeni
 
Hakika Lissu sasa making ya shingo, wana chadema wanaimba kwa sauti kuu wakisema chama chao hakitaenda ubelgiji.

Hizi dalili mbaya sana kwa Lissu ambaye ametumia mabilioni katika uchaguzi huu
Kweli akili ni nywele na kila mtu ana zake.
 
Labda uwafafanulie watazamaji unasema haukua na tamaa ya yoyote kushinda je ni kwanini ulisema mbowe kashashinda kabla ya uchaguzi?🎤
Ufafanuzi na Maelezo ya kisayansi wakati mwingine yanaweza kuchanganya watu gentleman,
but pole pole tunaweza kuelewana kadiri muda unavyosonga.

Binafsi huwa sina tamaa kabisa na chochote na si mtu wa kusema mambo yasiyo ya kitafiti 🐒
 
😁😁😁Unavyopangilia majibu kama mtu serious kweli!
 
Back
Top Bottom