Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Kwanza kabisa,Jana uliaminisha Umma kuwa Mbowe ameshashinda nafasi ya uwenyekiti Chadema na kwa sasa upo live wananchi wanataka wakuskie vipi unazungumziaje kauli yako hiyo uliyotoa kabla ya matokeo 🎤
kauli zangu zote zichukuliwe kwa uzito unaostahili kwasababu ni za kitaalamu zaidi na nimuhimu sana kwa wanaojifunza na wanaotaka kuongeza uelewa na ufahamu wa masula ya siasa hususan za Tanzania.
Jambo la pili,
wabobevu katika masuala haya hatunaga haraka wala hatubabaiki kutoa maelezo ya kina juu ya mambo yaliyotokea na yatakayotokea baadae,
Nachelea kusema,
ni mapema mno, lakini nitaeleza kwa kina jambo hili muhimu sana gentleman 🐒