Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Kwahiyo mlitaka Lisu apate ushindani wa wagombea kama Odero wapate kura moja moja?Na mimi naomba nikuulize swali, je unajua ni wana Chadema wangapi wenye uwezo lakini wakakosa ujasiri wa kugombea kwa sababu moja tu...baba alikuwa anagombea!
Tupo tuliompo ushauri ajitoe kwa nia njema kabisa kwa chama na kwa nchi kwa sababu tulijua hawezi kumshinda Lissu tofauti na wewe uliyeamini hawezi kushindwa...pole sana.
Je, wewe ulitaka agombee ili iweje? Ili ashindwe kama alivyoshindwa? Lengo letu sisi, tunaofuatilia hali halisi, ilikuwa ni kumuepusha na matokeo hayo ambayo tuliyajua toka awali.
Ubongo wako umejaa mavi.Hivi kuna watu wanadhani chadema itakapoongoza maisha yao yatakuwa bora zaidi kuliko, ubora huu unaoonyeshwa na CCM?
Je kuna watu wanaamini ya kuwa kwa kasi ya maendeleo ambayo ccm imeyafanya na kuyaonyesha, ya kwamba wao wanaweza fanya zaidi kuipiku CCM?
Je kuna watu wanadhani kwa idadi na brainstock zao za pale katika mkutano wao mkuu, kuna watu wanaoweza kuunda serekali makini?
#Siku moja itafika mpinzani atatoka ndani ya CCM, na atakigawa nusu chama cha mapinduzi, hapo ndipo sasa tutapata chama kitakachokuwa na nguvu na uwezo wa kuishinda CCM ya leo na kuongoza nchi.
Nchi zingine zingekuwa na such mindset, wasingetoka hapo, wasinge endelea, wangebaki wame stuck in the past.Hivi kuna watu wanadhani chadema itakapoongoza maisha yao yatakuwa bora zaidi kuliko, ubora huu unaoonyeshwa na CCM?
Je kuna watu wanaamini ya kuwa kwa kasi ya maendeleo ambayo ccm imeyafanya na kuyaonyesha, ya kwamba wao wanaweza fanya zaidi kuipiku CCM?
Je kuna watu wanadhani kwa idadi na brainstock zao za pale katika mkutano wao mkuu, kuna watu wanaoweza kuunda serekali makini?
#Siku moja itafika mpinzani atatoka ndani ya CCM, na atakigawa nusu chama cha mapinduzi, hapo ndipo sasa tutapata chama kitakachokuwa na nguvu na uwezo wa kuishinda CCM ya leo na kuongoza nchi.
---Nchi nyingi zinazopractise demokrasia ya kweli zilisha jengwa kimiundo mbinu kwa miaka mingi iliyopita, hivyo wanachofanya ni kuin stall application kuona wafanyaje kuboresha ustawi wa watu wake, lakini mfano, MAREKANI, Imetimilika kila kitu, ushindani unafanyika katika sera ya nje na ustawi wa watu wake, kwa nchi kama za Afrika, A REAL DEMOCRACY IS IMPOSSIBLE. NOTE THIS, HATA WAZUNGU WAMETULETEA HILI DUBWANA ILI KUTUCHELEWESHA NA PIA NDIYO NJIA RAHISI YA WAO KU PLANT WAR /VITA.Nchi zingine zingekuwa na such mindset, wasingetoka hapo, wasinge endelea, wangebaki wame stuck in the past.
Mindset kwamba only ccm ndio inaweza badilisha maisha ya mtanzania ni hoax, fear of unknown
Tunao jichelewesha ni wenyewe, south korea, singapore, wamaefanikiwaje faster? While in 50,60s almost walikuwa hawajatuacha mbali? Under huo huo mfumo wa democracy?---Nchi nyingi zinazopractise demokrasia ya kweli zilisha jengwa kimiundo mbinu kwa miaka mingi iliyopita, hivyo wanachofanya ni kuin stall application kuona wafanyaje kuboresha ustawi wa watu wake, lakini mfano, MAREKANI, Imetimilika kila kitu, ushindani unafanyika katika sera ya nje na ustawi wa watu wake, kwa nchi kama za Afrika, A REAL DEMOCRACY IS IMPOSSIBLE. NOTE THIS, HATA WAZUNGU WAMETULETEA HILI DUBWANA ILI KUTUCHELEWESHA NA PIA NDIYO NJIA RAHISI YA WAO KU PLANT WAR /VITA.
Kwa akili kama hizi ndio maana laana kubwa itaitafuna nchi hii kwa miaka mingi ijayo hadi kizazi kama chako kipotee kabisa katika uso a dunia. Tuliyoyashuhudia Dodoma wiki hii ni mifano tu ya jinsi tulivyo fukara wa akili, busara na hekima.---Nchi nyingi zinazopractise demokrasia ya kweli zilisha jengwa kimiundo mbinu kwa miaka mingi iliyopita, hivyo wanachofanya ni kuin stall application kuona wafanyaje kuboresha ustawi wa watu wake, lakini mfano, MAREKANI, Imetimilika kila kitu, ushindani unafanyika katika sera ya nje na ustawi wa watu wake, kwa nchi kama za Afrika, A REAL DEMOCRACY IS IMPOSSIBLE. NOTE THIS, HATA WAZUNGU WAMETULETEA HILI DUBWANA ILI KUTUCHELEWESHA NA PIA NDIYO NJIA RAHISI YA WAO KU PLANT WAR /VITA.
Hivi walitofautiana kwa kura ngapiHadi sasa ni 0 - 0. Mnyukano unaelekea mapumziko, kisha tutarejea ulingoni.
Kheee..!!! Mbona kama ulichoandika hakina ujumbe ulionao moyoni?Lisu ameipusua sana ccm na sasa wanatapatapa. Nawashauri vijana achananeni na ccm. Jpm aliiharibu na sasa ni mwendo wa kutumia nguvu na kuua tu
Mungu akisaidia hicho chama kikafa tutamshukuru sana maana hao jamaa sio watu.Lisu ameipusua sana ccm na sasa wanatapatapa. Nawashauri vijana achananeni na ccm. Jpm aliiharibu na sasa ni mwendo wa kutumia nguvu na kuua tu