Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Hivi kuna watu wanadhani chadema itakapoongoza maisha yao yatakuwa bora zaidi kuliko, ubora huu unaoonyeshwa na CCM?
Je kuna watu wanaamini ya kuwa kwa kasi ya maendeleo ambayo ccm imeyafanya na kuyaonyesha, ya kwamba wao wanaweza fanya zaidi kuipiku CCM?
Je kuna watu wanadhani kwa idadi na brainstock zao za pale katika mkutano wao mkuu, kuna watu wanaoweza kuunda serekali makini?
#Siku moja itafika mpinzani atatoka ndani ya CCM, na atakigawa nusu chama cha mapinduzi, hapo ndipo sasa tutapata chama kitakachokuwa na nguvu na uwezo wa kuishinda CCM ya leo na kuongoza nchi.