Pre GE2025 Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Ni Mbowe au Lissu

  • Mbowe

    Votes: 179 14.7%
  • Lissu

    Votes: 1,038 85.3%

  • Total voters
    1,217
  • Poll closed .
Hivi kuna watu wanadhani chadema itakapoongoza maisha yao yatakuwa bora zaidi kuliko, ubora huu unaoonyeshwa na CCM?

Je kuna watu wanaamini ya kuwa kwa kasi ya maendeleo ambayo ccm imeyafanya na kuyaonyesha, ya kwamba wao wanaweza fanya zaidi kuipiku CCM?

Je kuna watu wanadhani kwa idadi na brainstock zao za pale katika mkutano wao mkuu, kuna watu wanaoweza kuunda serekali makini?

#Siku moja itafika mpinzani atatoka ndani ya CCM, na atakigawa nusu chama cha mapinduzi, hapo ndipo sasa tutapata chama kitakachokuwa na nguvu na uwezo wa kuishinda CCM ya leo na kuongoza nchi.
 
Na mimi naomba nikuulize swali, je unajua ni wana Chadema wangapi wenye uwezo lakini wakakosa ujasiri wa kugombea kwa sababu moja tu...baba alikuwa anagombea!

Tupo tuliompo ushauri ajitoe kwa nia njema kabisa kwa chama na kwa nchi kwa sababu tulijua hawezi kumshinda Lissu tofauti na wewe uliyeamini hawezi kushindwa...pole sana.

Je, wewe ulitaka agombee ili iweje? Ili ashindwe kama alivyoshindwa? Lengo letu sisi, tunaofuatilia hali halisi, ilikuwa ni kumuepusha na matokeo hayo ambayo tuliyajua toka awali.
Kwahiyo mlitaka Lisu apate ushindani wa wagombea kama Odero wapate kura moja moja?
 
Hivi kuna watu wanadhani chadema itakapoongoza maisha yao yatakuwa bora zaidi kuliko, ubora huu unaoonyeshwa na CCM?

Je kuna watu wanaamini ya kuwa kwa kasi ya maendeleo ambayo ccm imeyafanya na kuyaonyesha, ya kwamba wao wanaweza fanya zaidi kuipiku CCM?

Je kuna watu wanadhani kwa idadi na brainstock zao za pale katika mkutano wao mkuu, kuna watu wanaoweza kuunda serekali makini?

#Siku moja itafika mpinzani atatoka ndani ya CCM, na atakigawa nusu chama cha mapinduzi, hapo ndipo sasa tutapata chama kitakachokuwa na nguvu na uwezo wa kuishinda CCM ya leo na kuongoza nchi.
Ubongo wako umejaa mavi.
 
Nchi zingine zingekuwa na such mindset, wasingetoka hapo, wasinge endelea, wangebaki wame stuck in the past.

Mindset kwamba only ccm ndio inaweza badilisha maisha ya mtanzania ni hoax, fear of unknown
 
---Nchi nyingi zinazopractise demokrasia ya kweli zilisha jengwa kimiundo mbinu kwa miaka mingi iliyopita, hivyo wanachofanya ni kuin stall application kuona wafanyaje kuboresha ustawi wa watu wake, lakini mfano, MAREKANI, Imetimilika kila kitu, ushindani unafanyika katika sera ya nje na ustawi wa watu wake, kwa nchi kama za Afrika, A REAL DEMOCRACY IS IMPOSSIBLE. NOTE THIS, HATA WAZUNGU WAMETULETEA HILI DUBWANA ILI KUTUCHELEWESHA NA PIA NDIYO NJIA RAHISI YA WAO KU PLANT WAR /VITA.
 
Tunao jichelewesha ni wenyewe, south korea, singapore, wamaefanikiwaje faster? While in 50,60s almost walikuwa hawajatuacha mbali? Under huo huo mfumo wa democracy?

(Natolea mfano mdogo) japo si china kwa sasa sio communist, ni mixed system
During cultural revolution china, waligundua kuna norms, tabia ambazo zita kwamisha china kupanda juu kiuchumi, mao zedong alichukua hatua ngumu ya kupiga vita kwa vitendo , mpaka china ikabadilika kimawazo, kijamii . And leo wanafaidi matunda yake.

Well waaafrica hakuna mfumo utafanya kazi kwetu mpaka hapo mtakapo badili midnset zenu.
Kuna tabia za umwinyi, lobbying, ambazo bado zitaendelea kumrudisha mwafrika nyuma hata awekewe mfumo gani
 
---Nchi nyingi zinazopractise demokrasia ya kweli zilisha jengwa kimiundo mbinu kwa miaka mingi iliyopita, hivyo wanachofanya ni kuin stall application kuona wafanyaje kuboresha ustawi wa watu wake, lakini mfano, MAREKANI, Imetimilika kila kitu, ushindani unafanyika katika sera ya nje na ustawi wa watu wake, kwa nchi kama za Afrika, A REAL DEMOCRACY IS IMPOSSIBLE. NOTE THIS, HATA WAZUNGU WAMETULETEA HILI DUBWANA ILI KUTUCHELEWESHA NA PIA NDIYO NJIA RAHISI YA WAO KU PLANT WAR /VITA.
Kwa akili kama hizi ndio maana laana kubwa itaitafuna nchi hii kwa miaka mingi ijayo hadi kizazi kama chako kipotee kabisa katika uso a dunia. Tuliyoyashuhudia Dodoma wiki hii ni mifano tu ya jinsi tulivyo fukara wa akili, busara na hekima.

Hatuna tofauti na wanyama wa mwituni ambao kwa kukosa akili hugeuza hadi sehemu wanapolala choo. With such stupid thinking it is no wonder we are where we are! Siku si nyingi tutaanza kunawaonea wivu wanyama kama fisi na nguchiro.
 
Lisu analaumiwa kwa lipi?
Mbowe ahangaike na wasaliti wake kwenye kura
 
Lisu ameipusua sana ccm na sasa wanatapatapa. Nawashauri vijana achananeni na ccm. Jpm aliiharibu na sasa ni mwendo wa kutumia nguvu na kuua tu
 
Kheee..!!! Mbona kama ulichoandika hakina ujumbe ulionao moyoni?
 
Lisu ameipusua sana ccm na sasa wanatapatapa. Nawashauri vijana achananeni na ccm. Jpm aliiharibu na sasa ni mwendo wa kutumia nguvu na kuua tu
Mungu akisaidia hicho chama kikafa tutamshukuru sana maana hao jamaa sio watu.
 
Leo Utasikia Wanatoa Hoja Kumpongeza Rais, Kwaajili Ya Mkutano Wa Africa Energy Summit ,Mission 300~Dar Es Salaam
 
Back
Top Bottom