Pre GE2025 Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Pre GE2025 Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Ni Mbowe au Lissu

  • Mbowe

    Votes: 179 14.7%
  • Lissu

    Votes: 1,038 85.3%

  • Total voters
    1,217
  • Poll closed .
kwa taarifa yako mbowe sasa hivi hana cha kupoteza hapo kwake cha kupoteza ni kuikosa chadema kuwa mwenyekiti lakini baada ya hapo hana cha kupoteza hata wahame wote atabaki na chama chake provided atapata na wabunge kadhaa anaendelea kula ruzuku kialini lissu ana haha huko chauma kutafuta urais ambao hataupata 2030 ni nchimbi 2040 makamba 2050 nnauye 2060 mtoto wa makamba
Bila kumsahau mwanae Mbowe kwa tiketi ya Sisiemu 2080.
 
Ndio sasa People's Power itatumika.
Hahaha people gani sasa, na power ipi?

Watanzania sisi kama hutuelewi unaweza kudhani ni binadamu, ukituangalia vizuri hata kwenye ubinadamu hatupo, usipoteze nguvu zako kwa hawa watu ambao ukiwaita hata mkutano wahadhara kwanza wanaanza kuchat kuulizana kama kuna polisi au la.

Wakiona defender ndio kabisaa, unasema kuna people's power hapo?
 
Back
Top Bottom