Pre GE2025 Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Ni Mbowe au Lissu

  • Mbowe

    Votes: 179 14.7%
  • Lissu

    Votes: 1,038 85.3%

  • Total voters
    1,217
  • Poll closed .
Bila kumsahau mwanae Mbowe kwa tiketi ya Sisiemu 2080.
 
Hawezi kuwa mwenyekiti akafanya siasa kali, siasa kali alipaswa azifanye alipokuwa makamu mwenyekiti.
Siasa kali plus backup ya chama akiwa Mwenyekiti, mwongoza njia.
 
Ndio sasa People's Power itatumika.
Hahaha people gani sasa, na power ipi?

Watanzania sisi kama hutuelewi unaweza kudhani ni binadamu, ukituangalia vizuri hata kwenye ubinadamu hatupo, usipoteze nguvu zako kwa hawa watu ambao ukiwaita hata mkutano wahadhara kwanza wanaanza kuchat kuulizana kama kuna polisi au la.

Wakiona defender ndio kabisaa, unasema kuna people's power hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…