Pre GE2025 Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Ni Mbowe au Lissu

  • Mbowe

    Votes: 179 14.7%
  • Lissu

    Votes: 1,038 85.3%

  • Total voters
    1,217
  • Poll closed .
Waambieni kabisa team FAM hakutakuwa na dakika za nyongeza. Tunamaliza hii ngwe ndani ya dakika 90 maana naona team FAM wanapoteza sana muda kwa kusoma hotuba ndefu kama safari ya kwenda mwezini
 
kwani ratiba yao inaonyesha zoezi la upigaji kura litaanza muda gani hasa na litamalizika muda gani?
tundu lisu tayari ameshapigwa bao la kisigino!
uchaguzi kufanyika usiku!!??tundu lisu tayari Hana chake
Anapita kweupee
 
Wajumbe kuna mkono wa heri ya mwaka mpya🎁 mkipata muda mnasogea choo cha upande wa pili cha wanaume hapa mlimani city, code ni unasema "atuvushe" halafu mdau ataitikia "mwamba" amevaa 🧒 nyekundu hamuwezi kumkosa🐼
 
Katika uchaguzi huu wajumbe watachagua Mwenyekiti Taifa pamoja na Makamu Mwenyekiti kwa Bara na Zanzibar, ambako ushindani mkubwa upo kati ya Mbowe na Lissu kwa nafasi ya Uenyekiti, na Wenje na Heche kwa nafasi ya Umakamu Uenyekiti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…