Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 12,624
- 24,751
Hapana, mkuu. Anashangiliwa labda kwa zile nondo zake twitani. Naona kila mwana CDM anashangiliwa. Makelele yasikuzuzue.Lema ameingia hapa ameshangiliwa? Inaonekana wajumbe wote ni Team Lissu.
Mkuu, hao ni wajumbe wa kule Geita mkoani Ruvuma. Wakitoka hapo mkutanoni, moja kwa moja wanapanda basi kuelekea makwao.Mabegi makubwa hivi ya kazi gani kwenye mkutano wa siku moja? Tena uchaguzi?
Una haraka ya kwenda wapi?Huu mfumo wa kuita watu 1007 majina aitike mmoja mmoja uchaguzi si utaisha saa sita usiku huu?
Mkuu, lakini kuna shida gani wakati wajumbe hawako porini? Nadhani watumie muda wao wa kutosha, hata hadi kesho asubuhi.Huu mfumo wa kuita watu 1007 majina aitike mmoja mmoja uchaguzi si utaisha saa sita usiku huu?
Hadi sasa ni 0 - 0. Mnyukano unaelekea mapumziko, kisha tutarejea ulingoni.Ngapi ngapi huko? Bwana Side anauliza
Ukimsikiliza TAL kwenye hotuba yake leo, nadhani jamaa yuko katika hatua za mwisho mwisho za research yake.View attachment 3209028
Kikowapi sasa... Lema anawazuga nyie manyumbu... Antipas kaingia kwenye mtego... Lema kura zote za Lisu atamsogezea kaka Mbowe... Mbowe ana akili sana kuliko manyumbu wote 💩💩 unamjua Lema unamsikia wew, yaani unamchagua awe Wakala wako? Lema haaminiki popote anafika dau dakika sifuri 😅🤣
CCM yote ni kama wameajiriwa kuufuatilia huu uchaguzi, wapo bize kideoni hadi kula hawali😃Unaambiwa Samia na wapambe wake toka asubui yupo kwenye Tv hatali kubanduka
Nyama na pombe za bure.Haya
Awe na matatizo asiwe na matatizo, atupishe!Mbowe hana matatizo kama ambavyo watu mnavyojaribu kulazimisha aonekane, the guy is very humble. Basi tu siasa ni upepo, ukilazimisha kupingana nao utapewa kila sifa chafu. Nilipenda asigombee, lakini pia sipendi anavyochafuliwa, si uungwana kabisa
Nani huyu?.God bless him
View attachment 3208986