Pre GE2025 Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Pre GE2025 Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Ni Mbowe au Lissu

  • Mbowe

    Votes: 179 14.7%
  • Lissu

    Votes: 1,038 85.3%

  • Total voters
    1,217
  • Poll closed .
Lema ameingia hapa ameshangiliwa? Inaonekana wajumbe wote ni Team Lissu.
Hapana, mkuu. Anashangiliwa labda kwa zile nondo zake twitani. Naona kila mwana CDM anashangiliwa. Makelele yasikuzuzue.
 
Maelfu ya Wananchi wanaenda kuipuuza CHADEMA iwapo Mbowe atachaguliwa.

Matokeo yake ni nini? Matokeo yake ni haya 👇Uchaguzi Mķuu wengi hawatapiga kura.
GfuY-ekXQAAK7pI.jpeg
 
Huu mfumo wa kuita watu 1007 majina aitike mmoja mmoja uchaguzi si utaisha saa sita usiku huu?
Mkuu, lakini kuna shida gani wakati wajumbe hawako porini? Nadhani watumie muda wao wa kutosha, hata hadi kesho asubuhi.

Nasema uongo ndugu zangu?
 
Huu ukimya uliopo mitandaoni na wananchi kufuatilia redioni na kwenye televisheni uchaguzi wa CHADEMA, ni mkubwa sana.

CHADEMA kwa kweli ni chama makini sana. Hali hii niliiona mwaka 1995 wakati Mkapa akichaguliwa kuwa mgombea Urais kupitia CCM.
 
Screenshot_20250121-180226_1.jpg

Kikowapi sasa... Lema anawazuga nyie manyumbu... Antipas kaingia kwenye mtego... Lema kura zote za Lisu atamsogezea kaka Mbowe... Mbowe ana akili sana kuliko manyumbu wote 💩💩 unamjua Lema unamsikia wew, yaani unamchagua awe Wakala wako? Lema haaminiki popote anafika dau dakika sifuri 😅🤣
 
View attachment 3209028

Ukimsikiliza TAL kwenye hotuba yake leo, nadhani jamaa yuko katika hatua za mwisho mwisho za research yake.

Mbali na kwamba ameingia kwenye kinyang'anyiro, nadhani jamaa anafanya utafiti fulani ambapo kuanzia leo baadaye atakuwa amepata hitimisho kamili.
 
NDUGU MJUMBE HIYO RUSHWA ULIYOPEWA NA MBOWE INAENDA KUKIUA CHAMA WANACHAMA WENGI MAELFU YA WANACHAMA WAMEPANGA KUJIUZULU IWAPO MTAMCHAGUA MTU KWA RUSHWA.

WANANCHI NCHI NZIMA NDANI NA NJE YA MIPAKA WANAANGALIA.
 
Mbowe hana matatizo kama ambavyo watu mnavyojaribu kulazimisha aonekane, the guy is very humble. Basi tu siasa ni upepo, ukilazimisha kupingana nao utapewa kila sifa chafu. Nilipenda asigombee, lakini pia sipendi anavyochafuliwa, si uungwana kabisa
Awe na matatizo asiwe na matatizo, atupishe!
 
Back
Top Bottom