Pre GE2025 Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Ni Mbowe au Lissu

  • Mbowe

    Votes: 179 14.7%
  • Lissu

    Votes: 1,038 85.3%

  • Total voters
    1,217
  • Poll closed .
Huu ukimya uliopo mitandaoni na wananchi kufuatilia redioni na kwenye televisheni uchaguzi wa CHADEMA, ni mkubwa sana.

CHADEMA kwa kweli ni chama makini sana. Hali hii niliiona mwaka 1995 wakati Mkapa akichaguliwa kuwa mgombea Urais kupitia CCM.
kumbe huu uchaguzi uko live gentleman? 🐒
 
Team POMBE NA NYAMA CHOMA ZA BURE mnaweweseka sana.
 
Awe na matatizo asiwe na matatizo, atupishe!
Halafu aende wapi?

Mkuu, hatoki mtu hapa! Unakumbuka matokeo ya ile press nyumbani kwa FAM - watu wakiuliza kama anagombea tena au anang'atuka?

Matokeo ndiyo hayohayo leo, hakuna kinachobadilika. Mark my words!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…