Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
level hiyo tumevuka kitambo mno!Nyama na pombe za bure.
Kabisa... CCM wanajibalaguza kuwa hawaijui nguvu ya CHADEMA, lakini kwa Siri, inawapa kihoro sana.Mkuu unajua siku zote nilifahamu Chadema ina nguvu, lakini sikujua kama ina nguvu kiasi hiki, Ni hatari sana!
Mkuu, emu kapicha basi ili nasi tujiridhishe.Unaambiwa Samia na wapambe wake toka asubui yupo kwenye Tv hatali kubanduka
kumbe huu uchaguzi uko live gentleman? 🐒Huu ukimya uliopo mitandaoni na wananchi kufuatilia redioni na kwenye televisheni uchaguzi wa CHADEMA, ni mkubwa sana.
CHADEMA kwa kweli ni chama makini sana. Hali hii niliiona mwaka 1995 wakati Mkapa akichaguliwa kuwa mgombea Urais kupitia CCM.
Ndiyo!kumbe huu uchaguzi uko live gentleman? 🐒
Team POMBE NA NYAMA CHOMA ZA BURE mnaweweseka sana.View attachment 3209028
Kikowapi sasa... Lema anawazuga nyie manyumbu... Antipas kaingia kwenye mtego... Lema kura zote za Lisu atamsogezea kaka Mbowe... Mbowe ana akili sana kuliko manyumbu wote 💩💩 unamjua Lema unamsikia wew, yaani unamchagua awe Wakala wako? Lema haaminiki popote anafika dau dakika sifuri 😅🤣
Hilo begi ndio silaha ya ushindi 😏
Halafu aende wapi?Awe na matatizo asiwe na matatizo, atupishe!
Kuna mjumbe fulani (jina nalihifadhi), amenitonya eti muda wake bado. Emu tuweni na subra kidogo.Goli la mkono vipi?
Channel ipi mkuuNdiyo!
Lakini wenye roho mbaya hawawezi kuuona.
Hakuna cha Mark my words wala Mark Mwandosya!Halafu aende wapi?
Mkuu, hatoki mtu hapa! Unakumbuka matokeo ya ile press nyumbani kwa FAM - watu wakiuliza kama anagombea tena au anang'atuka?
Matokeo ndiyo hayohayo leo, hakuna kinachobadilika. Mark my words!