Pre GE2025 Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Ni Mbowe au Lissu

  • Mbowe

    Votes: 179 14.7%
  • Lissu

    Votes: 1,038 85.3%

  • Total voters
    1,217
  • Poll closed .
Seif alikuwa maarufu huko Zanzibar (ukubwa wa mkoa tu). Zaidi ni kuwa Maalimu hakupendwa kutokana na hoja ila aliwaunganisha Wazanzibar kupitia mrengo wa dini na wakamwamini, hakuwa na cha zaidi.
Mwacheni mzee wa watu apumzike, kila majira na nyakati zake, wewe leo ukipewa viatu vya yule mzee unaweza kuvivaa, yule Hakua ALFA NA OMEGA aliijua siasa .
 
Freeman alisema kile kitengo ni cha kujitolea hakina mshahara ila anapotumia gharama binafsi kuweka hadi ulinzi kwenye eneo la kupigia kura najiuliza mbona kama inatumika nguvu kubwa kugombea nafasi ya kujitolea isiyo na mshahara.
Kuna Sure Odds pale sio bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…