Pre GE2025 Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Ni Mbowe au Lissu

  • Mbowe

    Votes: 179 14.7%
  • Lissu

    Votes: 1,038 85.3%

  • Total voters
    1,217
  • Poll closed .
Sina hakika. Nauona huu chaguzi ni kati ya RUSHWA VS KUJITAMBUA.
wajumbe wengi wa chadema wanaishi maisha below the poverty line. Uwezekano mkubwa ni rushwa itashinda
 
Tunasubiri mwelekeo wa Chadema unakuwaje baada ya uchaguzi wa leo au mabadiliko au maridhiano zaidi. Mabadiliko hutisha watu wengi bali maridhiano na diplomasia wengi hupenda zaidi kwa vile huonekana ni rafiki. Kimsingi matokeo ya mabadiliko huleta matokeo chanya na kwa haraka. je leo CDM mnatuchagulia nini?
 

Hivi huyo atakayempigia kura Mbowe, mtu huyo atakuwa anawaza nini kichwani mwake? najaribu kuwaza kwa sauti
 
Mbowe huyu kibaraka wa ccm? Chawa wa ccm mnahaha sana kumtetea mwenzao
 
Mungu yupi kwanza maana wanachama wote wana miungu tofauti kina mohammed kibao na lissu sasa hapo tuende na yupi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…