Montserrat
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 10,938
- 14,745
Sina hakika. Nauona huu chaguzi ni kati ya RUSHWA VS KUJITAMBUA.Ni muhimu sana Watanzania na wadau wa JF na wanaCHADEMA kwa ujumla kumuweka kwenye maombi huyu mwanafalsafa wa siasa za Tanzania.
Anaungwa mkono na makundi mengi ya wapenda haki na Watanzania kwa ujimla. Hata CCM inatetemeka wanaposikia jina lake na hofu kubwa ni pale atakaposhinda uenyekiti.
Tanzania inahitaji ukombozi wa pili ambapo hapa tumefikishwa na watawala waliojimilikisha nchi ambao hawataki Tanzania ipige hatua za maendeleo kwenye nyanja zote
Kila la kheri wajumbe,
Kila la kheri Tundu Antipas Lisu na Asanti Mbowe kwa kujidhihirisha uhalisia wako na usaliti dhidi ya harakati za ukombozi wa kweli wa nchi yetu
Mungu Ibariki Tanzania
Mungu ibariki CHADEMA
wajumbe wengi wa chadema wanaishi maisha below the poverty line. Uwezekano mkubwa ni rushwa itashinda