Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Wana sema a good dancer, knows when to leave the stage.Kwanini Mbowe kaamua kujidhalilisha hivi? Hotuba haina mvuto wajumbe wanamzoea, dah!
Tatizo ni shule mkuu haki wanatia aibu sanaNdani ya ukumbi, wajumbe hawana nidhamu kabisa na ustahimilivu,wanatukana tukana hovyo..... CDM wanapaswa kuongeza nidhamu ili waaminike
Saa saba uoneshe kitu hichohicho toka asubuhi!?Mbona Clouds Wamekimbia tena? DSTV nani anaonyesha?
Mkuu, yule jamaa inaonekana Heche mwenyewe ndiye alikuwa amempanga mapema. Hebu fuatilia kwa kina.Kuna mchawi kauliza swali kumbe ma ta_koo yake hata mawakili wkt wa kesi yake heche ndiye aliyemwekea
PESA ndio inafanya watu wajizime dataWana sema a good dancer, knows when to leave the stage.
yeye kaamua kuwa shabiki, mtazamaji, na mchezaji pia🤣
CrownMbona Clouds Wamekimbia tena? DSTV nani anaonyesha?
Mbona unatusahau JF kwenye takwimu?NCHI IMEGOMA KULALA LEO?
Crown wapo DStv? Ni Channel namba ngapi?Crown
Kisa Okello nini?wamemkataaa
Hpn situmii dstv natumia king'amuzi cha bwana sultaniCrown wapo DStv? Ni Channel namba ngapi?
Hahahha ila huyu jamaa anachekesha umenikumbusha kwenye mdahalo.Bado hajaanza kuzungumzia habari za wajumbe kulishwa miguu ya kuku? 😂
Jamii forums tupo 4397Mbona unatusahau JF kwenye takwimu?
Muda sio mrefu, mzee konyagi atasema hata chakula cha hapo ukumbini amepika yeye"Hata nguo tunazozivaa mimi nahusika katika mkono wangu ku desingn"
Mbowe
Nb: Lissu akipita kuwa mwenyekiti amfungulie mwenyekiti mstaafu biashara ya ushonaji.