Mimi team TAL japo najua na yeye anafika bei.Subiria mgombea wako ashinde. Polls za online Youtube na JF Lissu anaongoza kwa zaidi ya asilimia 85.
Sasa sijui kwann walisema uchaguzi ni tar 21!.??Huu uchaguzi mbona kama utakesha
Umeona vizuri.Sawa. FAM akishindwa huu uchaguzi nakupa ELFU 5.
Ameshachanganyikiwa... Hajui hata anaongea nini maskini yarabiKumbe mbowe ni designer maana kasema hata tshirts za cdm alidesign
Mcheki na Boni Yai. Haamini nini kinaendeleaNamuona yerico hatuliii au mbupu zimeanza kupata joto
Utaamka asubuhi ukiwa unalia machozi.Natabiri lisu ndo mwenyekiti mpya wa. Chadema.....kwaherini ndugu zangun usiku mwema
Kaa mkao wa kula mambo yameiva hukoMimi team TAL japo najua na yeye anafika bei.
Kaka twende ambiance aisee hizo nyapu cheap sana siziwezagiNiko Manzese, njoo twende uwanja wa fisi tukale nyapu za 3k ntakutafutia malaya wakali 🔥
lazima azurumiwe mtu leoSaa 7 na dk 20 Ndiyo wanaanza kupiga kura duu