Huo sio utabiri huko ni kutuibiaNatabiri lisu ndo mwenyekiti mpya wa. Chadema.....kwaherini ndugu zangun usiku mwema
Ayo ni ya milard ayoVipi matokeo ndiyo hayo yanayoonekana kwa ushindi wa asilimia 85 au mimi ndiye sijaelewa?
Hizo ni polls tu za online. YoutubeVipi matokeo ndiyo hayo yanayoonekana kwa ushindi wa asilimia 85 au mimi ndiye sijaelewa?
Wanasubiliwa wajumbe wameenda washroom.tupeni update wakuu
Hamani amemkuta Modekai ni hakimu🤣🤣🤣🤣FAM kapoteana hana sera na pia alijua kama atakua wa mwisho kuomba kura anaona mambo yamemwendea kombo,ila yote kashindwa kutambua nyakati na Mwakajoka kamkazia sana!
Crown TV wapo live..Hao Mawingu Quality ipo chini compared to UTV
SAfiri salamaNIko njiani tokea Arusha, natumaini mpaka naingia Iringa, matokeo yatakua yametoka
Mtaje huyo atakaye zulumiwalazima azurumiwe mtu leo
Sijui wanashida ganiWajumbe wanahimizwa kurudi ukumbini ila wao wamekomaa na Toilets tu.