Pre GE2025 Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Ni Mbowe au Lissu

  • Mbowe

    Votes: 179 14.7%
  • Lissu

    Votes: 1,038 85.3%

  • Total voters
    1,217
  • Poll closed .
Wajumbe wanashindwa kubana haja

Muda wote vulu vulu kwenda uani, ama kukojoa ama kupokea maelekezo.

Mkutano umekaa kienyeji mno.
 
Nipo Dodoma hapa bar moja ya wadosi naona simu zote zimewashwa data watu wanapiga chabo kinaendelea mlimani city.

Uzuri wa tukio hili hata wao wanashindwa kufahamu kati ya Mbowe na Lisu yupo atawapunguzia kazi kwenye uchaguzi mkuu?

Wewe huko
Hata Sa100 atakuwa anakesha
 
Katibu anatoa mwongozo wa namna bora ya ukaaji utakaokuwa mzuri kumpa nafasi mjumbe kujiachia anaoopiga kura.

Amesema kuwe na distance ambayo mpiga kura mmoja asiweze kuona mpiga kura mwenzake anampigia kura mgombea gani.
 
Wakuu,mbona kama Lissu amefanyiwa fujo za makusudi kwa kupigiwa makelele wakati anajiinadi na kujibu maswali?Je na Mbowe ilikuwa hivyo hivyo maana nimechelewa Mbowe sikumsikiliza..
Wakati wa FAM kulikuwa na utulivu mkubwa sana. Lissu kafanyiwa fujo wakati alipomgusa Wenje na udalali wake na pia mwishoni akiomba kura, alipomgusia FAM.

Upepo unaonekana wazi unakoelekea.
 
Wakati wa FAM kulikuwa na utulivu mkubwa sana. Lissu kafanyiwa fujo wakati alipomgusa Wenje na udalali wake na pia mwishoni akiomba kura, alipomgusia FAM.

Upepo unaonekana wazi unakoelekea.
Kwa hiyo upo na dalali Wenje au Heche mkuu
 
Wakati wa FAM kulikuwa na utulivu mkubwa sana. Lissu kafanyiwa fujo wakati alipomgusa Wenje na udalali wake na pia mwishoni akiomba kura, alipomgusia FAM.

Upepo unaonekana wazi unakoelekea.
Kwa mantiki hiyo upepo unaelekea wapi
 
Wakati wa FAM kulikuwa na utulivu mkubwa sana. Lissu kafanyiwa fujo wakati alipomgusa Wenje na udalali wake na pia mwishoni akiomba kura, alipomgusia FAM.

Upepo unaonekana wazi unakoelekea.
Fujo ni za Kikundi Cha wachache waloitumia Sauti kubwa .

Hata mwanzon hotuba ya kwanza ya LISSU ufunguzi wa mkutano, Kuna wajumbe kama nane hivi walisimama na kupiga makelele Kwa sauti kubwa.

Wenje Hashind.

Mbowe hashindi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…