spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 7,557
- 20,477
Tupo tunafatilia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wameshinda wamekaa tu inachoshaWajumbe wanahimizwa kurudi ukumbini ila wao wamekomaa na Toilets tu.
Bora hajaonyesha upandeProf. Jay anachat tu hana habari, sijui ni team Mbowe huyu.
Hata Sa100 atakuwa anakeshaNipo Dodoma hapa bar moja ya wadosi naona simu zote zimewashwa data watu wanapiga chabo kinaendelea mlimani city.
Uzuri wa tukio hili hata wao wanashindwa kufahamu kati ya Mbowe na Lisu yupo atawapunguzia kazi kwenye uchaguzi mkuu?
Wewe huko
Hovyo hovyo tuWajumbe wanashindwa kubana haja
Muda wote vulu vulu kwenda uani, ama kukojoa ama kupokea maelekezo.
Mkutano umekaa kienyeji mno.
Wakati wa FAM kulikuwa na utulivu mkubwa sana. Lissu kafanyiwa fujo wakati alipomgusa Wenje na udalali wake na pia mwishoni akiomba kura, alipomgusia FAM.Wakuu,mbona kama Lissu amefanyiwa fujo za makusudi kwa kupigiwa makelele wakati anajiinadi na kujibu maswali?Je na Mbowe ilikuwa hivyo hivyo maana nimechelewa Mbowe sikumsikiliza..
Lala uchaguzi umeahirishwa karatasi za kura zimeibiwa.Mtujuze kinachoendelea, kama ni kulala basi tulale.
Kwa hiyo upo na dalali Wenje au Heche mkuuWakati wa FAM kulikuwa na utulivu mkubwa sana. Lissu kafanyiwa fujo wakati alipomgusa Wenje na udalali wake na pia mwishoni akiomba kura, alipomgusia FAM.
Upepo unaonekana wazi unakoelekea.
Abdul yuko chooni anagawa vibunda nahs maana sio kwa mwitiko huo wa kwnd toilettupeni update wakuu
Mkuu, unatafuta sababu au ruhusa? Haya, kalale sasa. hahaMtujuze kinachoendelea, kama ni kulala basi tulale.
Kwa mantiki hiyo upepo unaelekea wapiWakati wa FAM kulikuwa na utulivu mkubwa sana. Lissu kafanyiwa fujo wakati alipomgusa Wenje na udalali wake na pia mwishoni akiomba kura, alipomgusia FAM.
Upepo unaonekana wazi unakoelekea.
Fujo ni za Kikundi Cha wachache waloitumia Sauti kubwa .Wakati wa FAM kulikuwa na utulivu mkubwa sana. Lissu kafanyiwa fujo wakati alipomgusa Wenje na udalali wake na pia mwishoni akiomba kura, alipomgusia FAM.
Upepo unaonekana wazi unakoelekea.