Pre GE2025 Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Ni Mbowe au Lissu

  • Mbowe

    Votes: 179 14.7%
  • Lissu

    Votes: 1,038 85.3%

  • Total voters
    1,217
  • Poll closed .
Fujo ni za Kikundi Cha wachache waloitumia Sauti kubwa .

Hata mwanzon hotuba ya kwanza ya LISSU ufunguzi wa mkutano, Kuna wajumbe kama nane hivi walisimama na kupiga makelele Kwa sauti kubwa.

Wenje Hashind.

Mbowe hashindi.
John Heche na Lisu wana upepo unaonekana wazi wazi japo Mbowe anaonekana dhahiri hataki kuachia ngazi
 
Demokrasia iko kazini...demokrasia siyo kushinda tu bali pia kushindwa. Mwanademokrasia ni yule anayekubali kushindwa..si wahenga walisema..."asiyekubali kushindwa..." Leo watapimwa.
Mzee Mwanakijiji
 
Nafuatilia hapa JF.

Na katika akaunti ya Jambo TV YouTube.

Kote kumewekwa polls na Lissu kaongoza kwa zaidi ya asilimia 85.

Ujumbe huu ni muhimu sana wajumbe wanapaswa kuuelewa.
 
Vitu vingine sio mpaka uelekezwe.

Wewe kama mjumbe ambaye unajua msingi na kanuni za upigaji kura. Unaanzaje kuchovya wino kabla ya zoezi la kupiga kura hujalikamilisha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…