Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 12,624
- 24,751
Ni wazi wajumbe walio wengi ni wa FAM. Wala haihitaji akili nyingi kutambua hilo. TAL atapata kura nyingi, lakini hawezi kumzidi FAM.Kwa mantiki hiyo upepo unaelekea wapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni wazi wajumbe walio wengi ni wa FAM. Wala haihitaji akili nyingi kutambua hilo. TAL atapata kura nyingi, lakini hawezi kumzidi FAM.Kwa mantiki hiyo upepo unaelekea wapi
John Heche na Lisu wana upepo unaonekana wazi wazi japo Mbowe anaonekana dhahiri hataki kuachia ngaziFujo ni za Kikundi Cha wachache waloitumia Sauti kubwa .
Hata mwanzon hotuba ya kwanza ya LISSU ufunguzi wa mkutano, Kuna wajumbe kama nane hivi walisimama na kupiga makelele Kwa sauti kubwa.
Wenje Hashind.
Mbowe hashindi.
Ameen, na iwe hivyo.Kivyovyote itavyokuwa ila Lissu ni mshindi.
Siku ya kujipakulia minyama, kila kitu amaefanya yeye, hado Chadema digital wazo alilipata akiwa prison.Kumbe mbowe ni designer maana kasema hata tshirts za cdm alidesign
Walisema wanatumka umeme mbadalaTanesco hawazimi umeme ili Team Mbowe ikimbie na maboksi ya kura.
Mzee MwanakijijiDemokrasia iko kazini...demokrasia siyo kushinda tu bali pia kushindwa. Mwanademokrasia ni yule anayekubali kushindwa..si wahenga walisema..."asiyekubali kushindwa..." Leo watapimwa.
Ila kwa hii style ya kuita majina hakyamungu hapa panakucha zoezi bado.Nadhani walijiandaa kuwa zoezi lao litafika usiku wa manane hivyo cautions zilizchukuliwa mapema
Angalia kwanza wajumbe ni wakanda ipi. Wasukuma ni washamba hata wakizaliwa ulaya ushamba upo tu.Vitu vingine sio mpaka uelekezwe.
Wewe kama mjumbe ambaye unajua msingi na kanuni za upigaji kura. Unaanzaje kuchovya wino kabla ya zoezi la kupiga kura hujalikamilisha?
Tena shule ya LIKUD EmsWajumbe wanakuwa kama watoto wa Standard 4.
Hawafuati maelekezo.
Yeah ili kuzuia wapiga kura hewa.Ila kwa hii style ya kuita majina hakyamungu hapa panakucha zoezi bado.
Kipigo watakachokipata chadema Kumwacha lissu hawatasahau...umma unamtaka lisssuNi wazi wajumbe walio wengi ni wa FAM. Wala haihitaji akili nyingi kutambua hilo. TAL atapata kura nyingi, lakini hawezi kumzidi FAM.
Kwa hili wamefail sana hawako serious.Uchaguzi gani mpaka hivi sasa haujafanyika ase?
Kwa nini weshindwa kujipanga juu ya jambo bili muhimu.
Hili zoezi litaisha Ijumaa hakika.Ila kwa hii style ya kuita majina hakyamungu hapa panakucha zoezi bado.