Pre GE2025 Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Ni Mbowe au Lissu

  • Mbowe

    Votes: 179 14.7%
  • Lissu

    Votes: 1,038 85.3%

  • Total voters
    1,217
  • Poll closed .
Kwenye chaguzi zetu hawa viongozi wetu wenyewe wanatusisitizaga kuwa ukipiga kura uilinde

Lakini wao hatuwaoni kulinda kura zao, badala yake wamewaweka wawakilishi.

Kumbe wanataka kutuponza tuingie matatizoni wakati utaratibu unafahamika.
 
Dhana ya uhuru, haki na uwazi ndio inayowapa adhabu.

Hata hivyo wamejitahidi ku minimize muda tofauti na zile chaguzi za mabaraza zilivyofanyika.

Huu uchaguzi una asilimia nyingi kutamatika saa 11 au 12. Chaguzi za mabaraza zilichukua 24 hrs
Tatizo siyo falsafa, bali wanakosa mbinu ya kutekeleza falsafa yao.

Tulitegemea waoneshe wepesi na umakini wa kiutendaji kama viongozi wanaotafuta dhamana ya kuliongoza taifa.

Sasa shughuli za serikali nazo watakuwa wakijivuta hivyo katika kuzifanya?

Ufanisi = speed and accuracy.
 
Sema ile Hotuba ya Katibu Mkuu imechangia sana kupoteza muda.
 
This is really Democracy in Chadema. Siyo vituko tulivyoona juzi kule CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…