Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Now wanaenda 7??Nao
Saba mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Now wanaenda 7??Nao
Saba mkuu
Lakini ameahidi kwamba hawezi kuhama chama. Kwa hiyo atabaki kuwa mwanachama au atapewa uongozi mwingine. Katiba inasemaje?Kipigo watakachokipata chadema Kumwacha lissu hawatasahau...umma unamtaka lisssu
Kwa sheria zetu za kiuswazi hawa asubuhi hawatapiga mswakiHii ngoma inawakuta watu asubuhi wakiwa kwenye foleni kuelekea makazini. Ngoja niweke alarm ya sa 10.
Tatizo siyo falsafa, bali wanakosa mbinu ya kutekeleza falsafa yao.Dhana ya uhuru, haki na uwazi ndio inayowapa adhabu.
Hata hivyo wamejitahidi ku minimize muda tofauti na zile chaguzi za mabaraza zilivyofanyika.
Huu uchaguzi una asilimia nyingi kutamatika saa 11 au 12. Chaguzi za mabaraza zilichukua 24 hrs
Unauliza matokeo muda huu?Kinachoendela huko? Matokeo saa ngapi?
Sema ile Hotuba ya Katibu Mkuu imechangia sana kupoteza muda.Tatizo siyo falsafa, bali wanakosa mbinu ya kutekeleza falsafa yao.
Tulitegemea waoneshe wepesi na umakini wa kiutendaji kama viongozi wanaotafuta dhamana ya kuliongoza taifa.
Sasa shughuli za serikali nazo watakuwa wakijivuta hivyo katika kuzifanya?
Ufanisi = speed and accuracy.
Hahaha! Aisee! Na hao mabalozi wameondoka au na wenyewe hakuna kulala?Unauliza matokeo muda huu?
At least ungeuliza baada ya adhana ya saa 11 alfajiri.
Nitaifuatilia matokeo yakitoka
Na una Imani Nae aje kuwa raisi watu wamechoka sana kijaniKipigo watakachokipata chadema Kumwacha lissu hawatasahau...umma unamtaka lisssu
Kwa saizi Camera zimeelekezwa kwenye masanduku ya kura hatujui kama wapo au hawapo.Hahaha! Aisee! Na hao mabalozi wameondoka au na wenyewe hakuna kulala?
Hiyo ina 80Mb na hapo nimei compress mwanzo ilikuwa na 3.4GBNitaifuatilia matokeo yakitoka