Pengine hayo yanafanywa kwenye mikutano midogo na sio kwenye huu mkutano mkuu.Kuna kitu kinaitwa executive summary!! Mambo ya msingi yote unayaongea kwa majumuisho sio unasoma neno kwa neno.
Swali gani hili unauliza? Katika ulimwengu wa sasa, kuna ugumu wowote wa kusambaza habari popote duniani?Sasa mtu wa Marekani ambaye anafuatilia hiyo hotuba hayo yaliyomo kitabunj angeyajuaje?
Unabadilika, mbona lowassa hakusoma ilani akasema ipo mtandaoni! Kuna muda unatakiwa uwe mbunifu.Pengine hayo yanafanywa kwenye mikutano midogo na sio kwenye huu mkutano mkuu.
5,000? Wajumbe hata hawafiki 1000!Yaani uchaguzi mdogo namna hiyo wa watu wasiozidi hata 5,000
Bado niwachanga, (better to name them as figureheads), yaani mtu unamuona ana wadhifa Fulani mtanashati na amenona lakini gorofani hakuna kituKwani kabla ya zoezi muhimu kama hili, huwa hawafanyi vikao vya maandalizi? Maana kuna mambo ukiyatazama, hadi mwenyewe unashikwa hasira.
Kuna watu wanaweza kuona zoezi linavyoenda, wakaishia tu kusonya na kusema hao bado wachanga, hawawezi kitu.
Idadi ya wajumbe wasiofika 1000, zoezi lote lilitakiwa liwe limekamilika ndani ya saa 2 au 3 tu!
Sasa moja ya hizo njia si ndio kama hiyo ambayo wameifumia kupitia media??Swali gani hili unauliza? Katika ulimwengu wa sasa, kuna ugumu wowote wa kusambaza habari popote duniani?
Kama wako serious kweli kushika hatamu ya uongozi, lazima wabadilike. Kama mwendo ndio huu, wasahau kabisa habari za kuwa mbadala wa chama tawala.Bado niwachanga, (better to name them as figureheads)
Tumesema matokeo muda bado ndio kwanza upigaji kura ndio umeanza.Wekeni matokeo hapa
They have a long way to go, of recent I suggest they are running a pressure group not a political partyKama wako serious kweli kushika hatamu ya uongozi, lazima wabadilike. Kama mwendo ndio huu, wasahau kabisa habari za kuwa mbadala wa chama tawala.
Na hata kama ulimfuatilia Katibu Mkuu wakati anasoma hiyo hotuba kuna sehemu nyingi aliziruka akidai hizo tayari zishawahi kutolewa ufafanuzi.Unabadilika, mbona lowassa hakusoma ilani akasema ipo mtandaoni! Kuna muda unatakiwa uwe mbunifu.
Hata ripoti ya CAG ina kurasa zaidi ya 300 ila huwa inasomwa tu executive summary.
Kabisa, mbeleko ya vyombo vya dola ndio inapeleka.Views hazipeleki mtu ikulu
Better to go asleep, here am dosing off