Pre GE2025 Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Ni Mbowe au Lissu

  • Mbowe

    Votes: 179 14.7%
  • Lissu

    Votes: 1,038 85.3%

  • Total voters
    1,217
  • Poll closed .
Zoezi dogo ambalo walikuwa na muda wa kutosha kabisa kujiandaa nalo, linachukua siku na usiku mzima kulikamilisha!

Linakiasiki vibaya chama chao.

They’re not ready for prime time.

Watu mnafananisha mambo tu ila kamati ya maandalizi imefanya Kazi kubwa.
 
hapana, john mnyika kwa kweli ameiangusha sana chadema. mimi binafsi sikutegemea kwamba kama hali ingekuwa kama hivi.
kama uchaguzi wa watu 1200 tu unachukua siku mbili, je, uchaguzi wa watu milioni nane ungechukua siku ngapi?
Your browser is not able to display this video.
 
Basi kuna dalili za shenanigans hapo….
Kuna jambo halipo sawa,Chadema planning ya mkutano mkuu haiko sawa.
Utadhani hawajawahi kwenda shule kabisa?
Swali la kutozingatia muda hadi asubuhi mnapiga kura ni jambo la fedheha sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…