Pre GE2025 Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Ni Mbowe au Lissu

  • Mbowe

    Votes: 179 14.7%
  • Lissu

    Votes: 1,038 85.3%

  • Total voters
    1,217
  • Poll closed .
Zoezi dogo ambalo walikuwa na muda wa kutosha kabisa kujiandaa nalo, linachukua siku na usiku mzima kulikamilisha!

Linakiasiki vibaya chama chao.

They’re not ready for prime time.
They are figureheads,

Kwa zama hizi za kidigitali tuseme ni wavivu wa kufikiri
 
hawa jamaa mchana walikuwa wapi bana
Mimi nadhani uchaguzi huu ni kiini macho tu.
Nyuma ya pazia kuna deals zinaendelea pande mbili.
Wakifika bei au muafaka watatangaza mshindi,na utasikia ndelemo za mshikamano pande zote.
Nimemkumbuka Mchungaji Mtikila aliyetetea mgombea binafsi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…