Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Lissu kamwe hawezi kushinda na sipo tayari kuona akishinda . Mwamba ndiye mshindi .Mbowe ndiye chaguo sahihi la wana CHADEMA na siyo huyo ropo ropo.Lema kibunda kimetuna!
Lakini uchaguzi unaweza kurudiwa
Sawa babuKijana mdogo wewe Huwezi kuelewa kwa sasa
Bora tuendelee kutafiti Nemboobenki kuu waling'ang'ania kuchapa noti mpya kumbe ili wafanye ujinga wao huu. sura za watu wa mpito ni za Nini kuwekwa kwenye fedha zetu?
Yeah hapo sawa maana hata Bon akim-pip Lema margin haiwezi kuwa kubwaSioni atakayefikisha kura 510
... mambo ya mzee wa Gambosh, NTOBHI, hayooo!Dah siasa bana kwahiyo Leo hii TL sio Mtz
Wale ni viongozi waliowekwa na Mbowe .Bado najiuliza hawa watu waliompigia kura Mbowe wametokea wapi?
Ni Watanzania wenzetu kweli?
Bora walituletea miandiko mingi tungehenya mjini sijui ilipatikanajeNaona unatumia mwandiko nundu.
Chama kilicho jijengea imani kwa wananchi wake leo kimegeuka kuwa chama cha wala rushwa nimeidharau chadema sanaDah siasa bana kwahiyo Leo hii TL sio Mtz
Hayo Ni mawazo yako but kumbuka wapigaji wa Kura Ni wajumbe ambao Ni wanachama sio wananchi kwa ujumla,Mbowe Ni mwanasiasa mzoefu na ameshatengeneza network ndani ya chama kumshinda kwenye uchaguzi unahitaji maandalizi ya muda mrefu sio kwa kukurupuka Kama alivyofanya lissu.Ukiona mbowe anaingia kwenye uchaguzi ujue ana uhakika na ushindi na ndio maana akapendekeza uchaguzi uwe wa haki na fairness kwasababu anajua Lissu hawezi kumshinda.Mbowe Ni very smart sijui nyinyi mnamchukuliajeHaya mambo ya Kura za usiku Siyo ya kuamini Sana hasa kwa Siasa zetu za bongo na wizi wa Kura , Lisu inawezekana akawa mshindi lakini kuna nguvu kubwa ya Dola ya CCM na Fedha za Mbowe imetumika kuiba kura
Shida ya kuwa na .matajio makubwa kuliko uhalisia madhara yake ndio hayoKura zinahesabiwa live hapo wote mnaona,hazihesabiwi sirini chumbani
Fedha zimeingiaje hapo?
Kama kiongozi alifanya nini baada ya kuporwa wabunge??Ndugu yangu, ni mpumbavu Tu atakayesema Maneno kama haya as if hajui uporaji uliotokea.
Lissu kashindwa vipi mkuu kwani huko kwenu matokeo tayari?Shida mnaongozwa na mihemko kuliko uhalisia hao wajumbe ndio wanajua vizuri mbowe na Lissu, mbowe ana muda mrefu sana ameshatengeneza network ndani ya chama hawezi kuangushwa kiboya na ndio maana akaona atashinda ndio maana anaingia kwenye uchaguzi hakukurupuka, Lissu kapumbazwa na kelele za nje zaidi ndicho kimemuangusha kushinda uchaguzi unahitaji maandalizi mapema kwasababu unashindana na mzoefu wa chama.Tusisingizie chochote Lissu kashindwa kwa haki
... akishinda LISSU, wanapishana na Msigwa!Ameamua kukaa kimya
Mimi sina team hapa. Yeyote fresh tu.
Mimi kikubwa Chadema na sio Mbowe au Lissu. Wengine tunaamini kwenye taasisi na sio mtu maana mtu anaweza hata kufa muda wowote lakini taasisi ikiwa imara itadumu milele.
Experience mattersShida mnaongozwa na mihemko kuliko uhalisia hao wajumbe ndio wanajua vizuri mbowe na Lissu, mbowe ana muda mrefu sana ameshatengeneza network ndani ya chama hawezi kuangushwa kiboya na ndio maana akaona atashinda ndio maana anaingia kwenye uchaguzi hakukurupuka, Lissu kapumbazwa na kelele za nje zaidi ndicho kimemuangusha kushinda uchaguzi unahitaji maandalizi mapema kwasababu unashindana na mzoefu wa chama.Tusisingizie chochote Lissu kashindwa kwa haki
masai dada nini kinaendelea? I am out of information reachDah
Basi tena