Pre GE2025 Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Pre GE2025 Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Ni Mbowe au Lissu

  • Mbowe

    Votes: 179 14.7%
  • Lissu

    Votes: 1,038 85.3%

  • Total voters
    1,217
  • Poll closed .
Haya mambo ya Kura za usiku Siyo ya kuamini Sana hasa kwa Siasa zetu za bongo na wizi wa Kura , Lisu inawezekana akawa mshindi lakini kuna nguvu kubwa ya Dola ya CCM na Fedha za Mbowe imetumika kuiba kura
Bora hata ingekuwa unavosema, yaani Akina Lema wameona wanashindwa mbele za watu
 
Akili mdogo utaelewaje?
Fedha za ccm zimetumika kuhonga,kununua wajumbe wampigie kura mbowe
Unajua siasa za Chadema? Una ushahidi na unachoongea au Ni mihemko na mapenzi ulionao kwa Lissu?
 
Shida mnaongozwa na mihemko kuliko uhalisia hao wajumbe ndio wanajua vizuri mbowe na Lissu, mbowe ana muda mrefu sana ameshatengeneza network ndani ya chama hawezi kuangushwa kiboya na ndio maana akaona atashinda ndio maana anaingia kwenye uchaguzi hakukurupuka, Lissu kapumbazwa na kelele za nje zaidi ndicho kimemuangusha kushinda uchaguzi unahitaji maandalizi mapema kwasababu unashindana na mzoefu wa chama.Tusisingizie chochote Lissu kashindwa kwa haki
Kelele za mtaani ndo hao wanachama ambao wanategemewa kwenye uchaguzi wa mwezi wa kumi. Huwezi kuwapuuza..binafsi ni mwanachama halali wa CHADEMA,siyo mjumbe wa huo uchaguzi,nlitamani lissu ashinde..asipo shinda automatically sito endelea na hicho chama..bora kura yangu niwape CCM
 
Wale ni viongozi waliowekwa na Mbowe .
Ni sawa na mawaziri kupiga kura dhidi ya Rais . Hawawezi kumwamini mwingine anayekuja .
Na pia wamechukulia kama mpira wa simba na Yanga . Yaani watu wa mbowe kushindwa kwao ni kudhalilika .Watu wa Lisu kushindwa kwao ni anguko la chama na chama kudhalilika .

Mbowe amejipanga ndani ya wajumbe ila akishinda chama kitaanguka na wananchi hawatawaelewa viongozi . Nadhani Serikali itatoa fedha kusidia shughuli za Chadema maana wananchi hata kwenye mikutano hastaenda.
Tutaenda tu Man U inafungwa na bado tunaendelea kuiangalia tu
 
Back
Top Bottom