Ghiti Milimo
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 4,748
- 7,061
Ndicho mlichobakiza!Ccm imeingilia kwa kutoa mipesa ya kodi zetu hazina kumsaidia mbowe agawe rushwa kwa wajumbe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndicho mlichobakiza!Ccm imeingilia kwa kutoa mipesa ya kodi zetu hazina kumsaidia mbowe agawe rushwa kwa wajumbe
Lema alikuwa anasambaza kura zake mezani. Boniyai akawa anaweka kamlima watu wakawa wanaona kura za Bon ni nyingi😅Doh mbona boni kama amekaa kwa kuchoka
Aiseee huu utakuwa muujizaHizo karatasi za kupigia Kura ilitakiwa kuzihakiki kabla. Siku hizi kuna technology ukiweka tick kwa mgombea huyu baada ya dakika kadhaa inahamia kwa mgombea wa pili hili linaweza kuwa limetokea
Wote Wana mzigo WA kutosha ila ni kama lema alikandamiza Sana karatasi zake, huu muda wa kuhesabu ni kama lema ana karatasi nyingi. Kabla ya kuhesabu ilikua ukiangalia Kwa macho Jacob alikua na mzigo mkubwa zaid. Yan lazma Jacob aogopeDoh mbona boni kama amekaa kwa kuchoka
ngoja niwahi selian hosp. wakaniwekee diripu ili matokea yakitoka yanikute nipo kwenye diripu mimiJikaze bado kura zinahesabiwa. Ila jiandae kwa lolote.
AmenTUNDU LISSU MWENYEKITI MPYA WA CHADEMA
😁😁Hizo karatasi za kura zilikuwa na ukubwa gani maana kuhesabu kura 1000 usiku kucha ni jambo la kushangaza. Inaonekana kura za chadema ni kubwa sana kiasi kwamba kubeibeba moja wanahitajika watu wanne...