Pre GE2025 Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Pre GE2025 Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Ni Mbowe au Lissu

  • Mbowe

    Votes: 179 14.7%
  • Lissu

    Votes: 1,038 85.3%

  • Total voters
    1,217
  • Poll closed .
Kwa kuangalia kwa macho, mzigo wa Bony ni mwingi, ila tusubilie muujiza
 
Sijajua kwanini mpaka dk hii bado hatujatangaziwa matokeo, au Kuna bargaining inafanyika huko ndani halafu baadae tuje tupewe matokeo ya kushangaza?
 
Wao wanadai eti walishavuka huko kitambo, lakini sasa utendaji wao na jinsi wanavyoendesha mambo vinazidi kuwasaliti na kuwaumbua.
Labda kama wamepita huko kwa nadharia... vitendo nehiii

Watoto wadogo sana hao kwejye game

Bado wananyonya😁😁😁
 
Lisu kushinda ni muujiza mwingine na hii itaingizwa katika record za maajabu ya dunia, tupo hapa.
 
Habari zenu wanaJF wenzangu

Wakuu kwa nilichodokezwa na mtu wa ndani ya mfumo wa chama, ni kwamba mpaka sasa Mwamba tayar miguu juu ameangukia pua. Hivyo ili yeye aweze kutangazwa mshindi ana vijana wake ambao wanajipanga kupiga bao la mkono na baada ya hapo ndo matokeo yatoke kwamba mwamba ndio mshindi wa uchaguzi huo.

Team mageuzi mjiandae mapema kisaikolojia. Muda sio mrefu msiompenda atakuja.
 
Habari zenu wanaJF wenzangu

Wakuu kwa nilichodokezwa na mtu wa ndani ya mfumo wa chama, ni kwamba mpaka sasa Mwamba tayar miguu juu ameangukia pua. Hivyo ili yeye aweze kutangazwa mshindi ana vijana wake ambao wanajipanga kupiga bao la mkono na baada ya hapo ndo matokeo yatoke kwamba mwamba ndio mshindi wa uchaguzi huo.

Team mwanaharakati mjiandae mapema kisaikolojia. Muda sio sio mrefu msiompenda atakuja.
uko nchi gani mkuu,fungua crown tv,kila kitu kiko live,saa hizi asubuhi wanahesabu za lisu,za mbowe bado,kama alihonga wapiga kura sawa,ila hapa kila kitu kinaenda vizuri na ni mfano mzuri kuigwa na vyama vyote.
 
Back
Top Bottom