Pre GE2025 Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Ni Mbowe au Lissu

  • Mbowe

    Votes: 179 14.7%
  • Lissu

    Votes: 1,038 85.3%

  • Total voters
    1,217
  • Poll closed .
uko nchi gani mkuu,fungua crown tv,kila kitu kiko live,saa hizi asubuhi wanahesabu za lisu,za mbowe bado,kama alihonga wapiga kura sawa,ila hapa kila kitu kinaenda vizuri na ni mfano mzuri kuigwa na vyama vyote.
Watoto wa mjini hatujawahi kushindwa jambo. Litapigwa bao ambalo nyinyi wakulima hamtojua limepigwaje na mfungaji ni nani.

Time will tell.
 
Habari zenu wanaJF wenzangu

Wakuu kwa nilichodokezwa na mtu wa ndani ya mfumo wa chama, ni kwamba mpaka sasa Mwamba tayar miguu juu ameangukia pua. Hivyo ili yeye aweze kutangazwa mshindi ana vijana wake ambao wanajipanga kupiga bao la mkono na baada ya hapo ndo matokeo yatoke kwamba mwamba ndio mshindi wa uchaguzi huo.

Team mageuzi mjiandae mapema kisaikolojia. Muda sio mrefu msiompenda atakuja.
Ounguza mihemko

Punguza mihemko acha kukulupuka
 
Bado hamjasema
downloadfile-2.jpg
 
Hivi umekurupuka tu kwenye kitanda chako cha 3.5ft na kuleta mawazo yako hapa jukwaani as hatufuatilii uchaguzi live?!
 
Habari zenu wanaJF wenzangu

Wakuu kwa nilichodokezwa na mtu wa ndani ya mfumo wa chama, ni kwamba mpaka sasa Mwamba tayar miguu juu ameangukia pua. Hivyo ili yeye aweze kutangazwa mshindi ana vijana wake ambao wanajipanga kupiga bao la mkono na baada ya hapo ndo matokeo yatoke kwamba mwamba ndio mshindi wa uchaguzi huo.

Team mageuzi mjiandae mapema kisaikolojia. Muda sio mrefu msiompenda atakuja.
na mbona mambo yako live bila chenga ndugu mpotoshaji? 🐒
 
Back
Top Bottom