ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 14,949
- 54,485
Sijui ni macho yangu ila naona kama Boniyai anakaribia kumaliza kuhesabu na hata dk 10 hazijafika😉🙃Hebu track za Boniyai
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui ni macho yangu ila naona kama Boniyai anakaribia kumaliza kuhesabu na hata dk 10 hazijafika😉🙃Hebu track za Boniyai
Ukiona hivi ujue unatafuta sababu ya kushindwa. Kama mtu wenu amepigwa chini, kubalini matokeo mwanangu.Habari zenu wanaJF wenzangu
Wakuu kwa nilichodokezwa na mtu wa ndani ya mfumo wa chama, ni kwamba mpaka sasa Mwamba tayar miguu juu ameangukia pua. Hivyo ili yeye aweze kutangazwa mshindi ana vijana wake ambao wanajipanga kupiga bao la mkono na baada ya hapo ndo matokeo yatoke kwamba mwamba ndio mshindi wa uchaguzi huo.
Team mageuzi mjiandae mapema kisaikolojia. Muda sio mrefu msiompenda atakuja.
ili tufanye unyama maana tumeshaona jahazi linatumbukia!Tanesco wanakata umeme dsm ili iweje
Kura zinahesabiwa mzee inaonekana🤣Hizi taarifa umezitoa wapi?
Mbowe kapata kura 400+Sijui ni macho yangu ila naona kama Boniyai anakaribia kumaliza kuhesabu na hata dk 10 hazijafika😉🙃
Kwako ila kwa LISSU kamaliza kuyalainisha kitamboBado mambo ni magumu
Kuhesabu kura na kuhudumia wapi na wapi?Wanahesabu kura elfu moja siku nzima wataweza wapi kuhudumia wananchi milioni 60????
Sasa ndio watajua nani alitangulia mjini🤣🤣🤣
Wakome kuzodoa chama kubwa CCM
YouTube liveHizi taarifa umezitoa wapi?
Nilikuambia Bon aliweka kamlima na camera ika mfavour kwa angle iliyokuwepo. Ule mkao wake kwenye kiti sio ni wakujikatia tamaa 🤣🤣Sijui ni macho yangu ila naona kama Boniyai anakaribia kumaliza kuhesabu na hata dk 10 hazijafika😉🙃
Kama ameshinda ni jambo jema ila badoKwako ila kwa LISSU kamaliza kuyalainisha kitambo
Hebu Weka wazi mkuu niko safarini.TAL kashinda tayari
Boniyai yupo slow kuhesabuNilikuambia Bon aliweka kamlima na camera ika mfavour kwa angle iliyokuwepo. Ule mkao wake kwenye kitu sio ni wakujikatia tamaa 🤣🤣