Pre GE2025 Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Pre GE2025 Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Ni Mbowe au Lissu

  • Mbowe

    Votes: 179 14.7%
  • Lissu

    Votes: 1,038 85.3%

  • Total voters
    1,217
  • Poll closed .
Mpaka sasa odds za Lissu zimepanda kutoka 1.12 mpaka 30+
1000006248.jpg
 
Huu uchaguZi ni lazima mbowe atashinda.. Kinyume chake atakuwa kajidhalilishaa mnoooo... Zingatia neno "LAZIMA" Maana angekuwa analinda chama kweli hicho cheo alitakiwa ampishe kiti Lissu na siyo kufanya uchaguzi..
 
Hizo karatasi za kupigia Kura ilitakiwa kuzihakiki kabla. Siku hizi kuna technology ukiweka tick kwa mgombea huyu baada ya dakika kadhaa inahamia kwa mgombea wa pili hili linaweza kuwa limetokea
Aiseee huu utakuwa muujiza
 
Back
Top Bottom