johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mbowe yuko vizuri sana, hadi sasa wapiga kura wake wako kimyakimya. wanakamata mwizi men.Nafatilia mubashara matangazo ya mkutano mkuu wa CHADEMA kupitia UTV, kiukweli hali ni ngumu sana kwa Mbowe! Kila mjumbe anayehojiwa anazungumzia mabadiliko na namna alivyojipanga kumpa kura yake Lissu. Kweli mchezaji bora ni yule anayejua wakati sahihi wa kushuka jukwaani.
Ikitokea Mbowe akashinda basi ajipange kuongoza chama mfu.
watu wa mbowe hawana mchecheto kama walivyo wa lisu.Nafatilia mubashara matangazo ya mkutano mkuu wa CHADEMA kupitia UTV, kiukweli hali ni ngumu sana kwa Mbowe! Kila mjumbe anayehojiwa anazungumzia mabadiliko na namna alivyojipanga kumpa kura yake Lissu. Kweli mchezaji bora ni yule anayejua wakati sahihi wa kushuka jukwaani.
Ikitokea Mbowe akashinda basi ajipange kuongoza chama mfu.
ππππ Ungemalizia syonzuri kwa afya ya mmwili na akiliMakamu wa Rais huwa lazima atoke Zanzibar
Pia pombe sio nzuri
KUMBUKA PIA WAZANZIBAR WOTE 100% WATAMPIGIA MBOWE.Hawawezi kumpigia LISu ambaye aliwasemaNafatilia mubashara matangazo ya mkutano mkuu wa CHADEMA kupitia UTV, kiukweli hali ni ngumu sana kwa Mbowe! Kila mjumbe anayehojiwa anazungumzia mabadiliko na namna alivyojipanga kumpa kura yake Lissu. Kweli mchezaji bora ni yule anayejua wakati sahihi wa kushuka jukwaani.
Ikitokea Mbowe akashinda basi ajipange kuongoza chama mfu.
Kaamua kupiga vyombo mapemaππππ Ungemalizia syonzuri kwa afya ya mmwili na akili
HatariiiiiiKaamua kupiga vyombo mapema
Anataka Rais na makamu wote watoke Tanzania
Hakuna chakutulia kitu,nikwamba hawana ushawishi katika hili,Sawa na Mgombea wao.watu wa mbowe hawana mchecheto kama walivyo wa lisu.
wa mbowe wametulia kama alivyo mbowe
Ground ya wapi hiyo wakati kila kitu sasa hivi kipo ukumbini na hao wajumbe nao wako ndani ya jengo la pembe nne na kauli hizo zinatoka ndani ya jengo hilo?Kwa ground hali ni tofauti kabisa ... mwamba anaibuka leo kidedea
Katiba ingeruhusu tukapiga kura huku ground mbowe angepata aibu ya karne!!.Aise ngoja tusubirieeee
Maana kura za mtandaoni lissu
Anamkimbiza mbowe
Ngoja tuone huko kwenye box π
Ova
nimejaribu kutafuta live updates pasina mafanikio mimi kama kijana ninaependa SIASA na kwa kuzingatia kauli ya mwenyekiti wa chama hicho akihojiwa na moja ya media alisema mkutano utakuwa live na hata huo uchaguzi utakuwa live hatua kwa hatua ili kusiwepo mkanganyiko baada ya uchaguzi juzi CHAMA TAWALA wameweka mambo yao hadharani na watanzania wameona kila hatua jambo ambalo limesaidia kuepusha sintofahamu baada ya mkutano ule kuamua kupitisha majina ya wagombea wao wajao kwa Bara na visiwani tafadhali kama kuna mahali pa kustream live tupeane updates watu tuone Demokrasia kama kweli imetawala au ni blah blah watu wanatoana nundu gizani
azam kupitia itv channelnimejaribu kutafuta live updates pasina mafanikio mimi kama kijana ninaependa SIASA na kwa kuzingatia kauli ya mwenyekiti wa chama hicho akihojiwa na moja ya media alisema mkutano utakuwa live na hata huo uchaguzi utakuwa live hatua kwa hatua ili kusiwepo mkanganyiko baada ya uchaguzi juzi CHAMA TAWALA wameweka mambo yao hadharani na watanzania wameona kila hatua jambo ambalo limesaidia kuepusha sintofahamu baada ya mkutano ule kuamua kupitisha majina ya wagombea wao wajao kwa Bara na visiwani tafadhali kama kuna mahali pa kustream live tupeane updates watu tuone Demokrasia kama kweli imetawala au ni blah blah watu wanatoana nundu gizani
Unaninunulia kesiπππna umbile lake linajieleza. sijawahi kuona taahira mwembamba π
Zanzibar ni kaeneo kadogo sn ukilinganisha na baraCV ya Lissu ni kubwa sana ktk harakati za upinzani Tanzania. Naweza kusema huwezi kuwataja wapinzani wa CCM bila kumtaja Lissu. Licha ya huvyo Lissu hakumfikia marehemu Seif jinsi ya kuisumbua CCM.
Seif licha ya kutokuwa kiongozi mkuu wa Cuf yaani Mwenyekiti lkn aliitikisha sana CCM hadi kufikia miafaka zaidi ya 3 na hatimae ikaundwa serekali ya kitaifa.
Maalim alianziasha harakati za jino kwa jino lakini pia harakati za maridhiano.
Maalim alifariki akiwa na heshima kubwa ktk siasa za upinzani.
LISSU.
Lissu licha ya kuwa mpinzani lkn mtego aliongia ushammaliza kisiasa. Mtego wa kutaka kuisambaratisha chadema kupitia lema na Heche limemtoa kabisa ktk siasa za chadema.
Tumuombeeni sana Lissu ktk siasa za upinzani. Lilobaki aende CCM akamalizie maisha yake
Lissu nje ya chadema hawezi kuendesha siasa. Siasa za lissu litigemea chadema.
Kwa hivyo za kumuombea lissu baada ya kushindwa ni muhimu