Pre GE2025 Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Ni Mbowe au Lissu

  • Mbowe

    Votes: 179 14.7%
  • Lissu

    Votes: 1,038 85.3%

  • Total voters
    1,217
  • Poll closed .
==
Mbowe anaitwa yeye ndio Alpha na Omega na hajawahi kukanusha kwamba si kweli kwamba yeye ni Alpha na Omega maana yake alikiri yeye ni Alpha na Omega,

Leo Mungu ndio atamuonesha wazi Mbowe kuwa yupo Alpha na Omega ambae anawivu sana.

LAZIMA MUNGU AONESHE NGUVU ZAKE LEO.
 
Za ndani nasikia huko tayari vimeumana
 
==
Mbowe anaitwa yeye ndio Alpha na Omega na hajawahi kukanusha kwamba si kweli kwamba yeye ni Alpha na Omega maana yake alikiri yeye ni Alpha na Omega,

Leo Mungu ndio atamuonesha wazi Mbowe kuwa yupo Alpha na Omega ambae anawivu sana.

LAZIMA MUNGU AONESHE NGUVU ZAKE LEO.
Mungu akaonekane kama kwenye mkutano huu Mbowe hawezi kuwa ALPHA na OMEGA,

Alpha na Omega ni Mungu tu
 
Hatma ya CHADEMA kuwa chama chenye mvuto na nguvu kubwa katika Jamie au kufa na kussahaulika kama tlp , cuf na nccr
 
Back
Top Bottom