Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
CCM haijatuma wawakilishi ili wakajifunze Demokrasia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Activism is done todayLisu is 90% activist
Same with domoKumchagua Mbowe ni kuifanya Chadema kuwa kigango cha CCM.
Haya mambo mazito ndiyo maana Dr. Slaa hadi leo yuko lupango kwani aliyosema ni ukweli mtupu. Wewe pumzika tu Mama yangu.Acha niwe mpole usije kunipa laana bure![]()
Msosi ni saa ngapi sababu mchana ndio hii au wajumbe hatuli?Haya mambo mazito ndiyo maana Dr. Slaa hadi leo yuko lupango kwani aliyosema ni ukweli mtupu. Wewe pumzika tu Mama yangu.
🚮Same with domo
Mimi niko nyumbani nimepumzika nakula mara moja tu kwa siku jioni.Msosi ni saa ngapi sababu mchana ndio hii au wajumbe hatuli?
Kwanini huhisi njaa?Mimi niko nyumbani nimepumzika nakula mara moja tu kwa siku jioni.
Rushwa, Rushwa, Rushwa.Mungu ibariki Chadema
Ndiyo nilivyojizoesha,breakfast ninayokula inanilinda hadi jioni.Kwanini huhisi njaa?
Sawa BossNdiyo nilivyojizoesha,breakfast ninayokula inanilinda hadi jioni.
Kujaribu kubeba title ya Mungu ni kujitafutia tu mabalaa na maangamizo==
Mbowe anaitwa yeye ndio Alpha na Omega na hajawahi kukanusha kwamba si kweli kwamba yeye ni Alpha na Omega maana yake alikiri yeye ni Alpha na Omega,
Leo Mungu ndio atamuonesha wazi Mbowe kuwa yupo Alpha na Omega ambae anawivu sana.
LAZIMA MUNGU AONESHE NGUVU ZAKE LEO.
Lucas hajambo?Kwanini huhisi njaa?
Kwahiyo we umeyashika hayo tuWanasiasa bhana.. Motive zao
Mimi ikifika miaka 68 nita achia chama kama mtangulizi wangu..
Mwingine..
Nilipoona kamwambia flani agombee nafasi yangu nikasema nami nigombee ya aliyo mtuma..
Hawa ndio wanategemewa kama wapinzani..
Sema tu umenimiss! Lucas ni regesha hapaLucas hajambo?