Shadow7
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 24,606
- 39,289
Mambo ya ajabu kabisaPolisi waliomwagwa hapo ni sheeedah
Ila mbowe na ww mtu gani unaongoza chama tangu mimba inatungwa had mtoto anazaliwa had anafikia above 20 upo tu
Mambo mengine ni ya aibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo ya ajabu kabisaPolisi waliomwagwa hapo ni sheeedah
Ila mbowe na ww mtu gani unaongoza chama tangu mimba inatungwa had mtoto anazaliwa had anafikia above 20 upo tu
Mambo mengine ni ya aibu
Kupumzika was the best decision ktk historia ya siasa kwake na kwa CDM. Akisbinda itainekana kwa wengi kuwa amefaidika na uenyekiti wake wa mda mrefu, kama chama tawala popote duniani vinavyonufaika na faida za kuwa watawala kwa mda mrefuMambo ya ajabu kabisa
Huu umeme utafanya chadema wagombane kwanini isitumike jenereta tuMambo ya ajabu kabisa
Nadhani unamuongelea Sultani MboweCV ya Lissu ni kubwa sana ktk harakati za upinzani Tanzania. Naweza kusema huwezi kuwataja wapinzani wa CCM bila kumtaja Lissu. Licha ya huvyo Lissu hakumfikia marehemu Seif jinsi ya kuisumbua CCM.
Seif licha ya kutokuwa kiongozi mkuu wa Cuf yaani Mwenyekiti lkn aliitikisha sana CCM hadi kufikia miafaka zaidi ya 3 na hatimae ikaundwa serekali ya kitaifa.
Maalim alianziasha harakati za jino kwa jino lakini pia harakati za maridhiano.
Maalim alifariki akiwa na heshima kubwa ktk siasa za upinzani.
LISSU.
Lissu licha ya kuwa mpinzani lkn mtego aliongia ushammaliza kisiasa. Mtego wa kutaka kuisambaratisha chadema kupitia lema na Heche limemtoa kabisa ktk siasa za chadema.
Tumuombeeni sana Lissu ktk siasa za upinzani. Lilobaki aende CCM akamalizie maisha yake
Lissu nje ya chadema hawezi kuendesha siasa. Siasa za lissu litigemea chadema.
Kwa hivyo za kumuombea lissu baada ya kushindwa ni muhimu
Sote ni mashuhuda kwamba Freeman Aikaeli Mbowe anaungwa mkono na wajumbe wa mkutano mkuu wengi zaidi ya mgombea uenyekiti mwingine yeyote wa chadema, na kwahivyo anakwenda kushinda uchaguzi huu kwa kishindo.
Tayari visingizio kutoka kwa wapambe wa wagombea wanaowafungia wajumbe wao kwenye nyumba za kulala wageni, huku wakikosa kujua ratiba na kinachoendelea kwenye ukumbi wa uchaguzi, wameanza kupiga mayowe ya kushindwa, kanakwamba kuna rafu za uchaguzi hali ya kua wanajitakia wenyewe. Ni vichekesho na makusudi ya kujitakia tu, eti mpaka sasa kuna wajumbe hawajasajiliwa na hawana vitambulisho, wamefungiwa ndani tu.
Prof. Kitila Mkumbo amebainisha wazi kwa umma kupitia vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kwmba, Freeman Aikaeli Mbowe hawezi kugombea nafasi ya uongozi ambayo hatashinda.
Ni muhimu sana wadau wa JF na wanachadema kwa ujumla, kuzingatia kauli hii ya kitaalamu kutoka kwa mwanafalsafa huyu wa siasa za Tanzania.
Kila la kheri wajumbe,
Kila la kheri Mbowe na Asanti Lisu kwa kushiriki uchaguzi wa chadema ngazi ya taifa.🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Huku kukatika katika kwa umeme mbona ni aibu sana? Kwa diplomatic dignitaries walioko hapo hiyo siyo aibu ya Chadema pekee, ni aibu kwa Taifa. F*cken umeme wa Tanzania!
Mwambie apunguze kuandika makorokocho yanamharibia sana,ajitahidi ku keep low profile the watamuinua lakini haya masifa anayozidisha na kujifanya mjuaji atasubiri sana. Ajishushaye atainuliwa bali ajikwezaye atashushwa.Tukae tusubiri kuona mwisho wa Lucas
Wewe umejishusha una cheo gani?😉Mwambie apunguze kuandika makorokocho yanamharibia sana,ajitahidi ku keep low profile the watamuinua lakini haya masifa anayozidisha na kujifanya mjuaji atasubiri sana. Ajishushaye atainuliwa bali ajikwezaye atashushwa.
Mbona miccm imeng'ang'ania madaraka muda wote huo haitaki kutoka?Polisi waliomwagwa hapo ni sheeedah
Ila mbowe na ww mtu gani unaongoza chama tangu mimba inatungwa had mtoto anazaliwa had anafikia above 20 upo tu
Mambo mengine ni ya aibu
Uchaguzi wetu Chadema mbona unaushobokea sana? 🤣Utofauti wao mkubwa sana
Lissu kaongea kuomba kuonewa huruma na bado kulalamika
Mbowe yupo vizuri zaidi yake. Nondo Nondo anamwaga
Mbowe anaongea kama mtu vileMbona miccm imeng'ang'ania madaraka muda wote huo haitaki kutoka?