Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 28,259
- 41,416
Mbona kura bado?Ndugu zangu upande wa wapenda mabadiliko. Sisi ambao tulitamani sana mheshimiwa Lissu ashinde uchaguzi huu. Hatuna namna tena. Tumeshindwa. Iwe kwa rushwa iwe kwa nini lakini hali ni mbaya. Mimi kama mimi sipo tayari kuongozwa nao. Asanteni sana.