Pre GE2025 Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Ni Mbowe au Lissu

  • Mbowe

    Votes: 179 14.7%
  • Lissu

    Votes: 1,038 85.3%

  • Total voters
    1,217
  • Poll closed .
Uchaguzi wetu Chadema mbona unaushobokea sana? 🤣

Eeeeeh
Si nipate cha kuandika humu

Nimewasikia wao wakiongea

Lissu badoooo sana aiseee
Mihemko tu ya nyie kutaka awape burudani

Haya kamaliza Mbowe, nitadlsubiria majibu mkiyaweka humu na kwingine

Sina chama natafuta cha kujiunga sasa... 🤗
 
Huyu ni bingwa wa kuongea kwenye mazingira ya kusikilizwa tu.

Lakini kwenye mazingira ya kuhojiana hawezi na ndio maana alikacha mdhahalo.

Ikimahanisha kazi anaweza

Kapata 10 leo

Najua wengi wenye Mihemko wafata mikumbo lazima wamebaki mataa leo
 
Huyu ni bingwa wa kuongea kwenye mazingira ya kusikilizwa tu.

Lakini kwenye mazingira ya kuhojiana hawezi na ndio maana alikacha mdhahalo.
Kukimbia mdahalo ni tatizo kubwa sana kwa yeyote mwenye akili anajua wazi kuwa Mbowe ni mlaghai wa kisiasa.
-----------------
Changamoto ya Mbowe anadhani watu ni wajinga, wanalaghaika kwa upangaji wa maneno anayoyatamka.

Anafanya makosa sana!

Na Lissu kusema haondoki chama hata kama akishindwa bado kwake Mbowe ni mtihani mkubwa sana!
 
Yap Lissu matokeo yeyote yatayokuja bado atakuwa mshindi tu.

Ishu ipo kwa Alpha
 
Screenshot_2025-01-10-12-51-36-1.png
 
Kukimbia mdahalo ni tatizo kubwa sana kwa yeyote mwenye akili anajua wazi kuwa Mbowe ni mlaghai wa kisiasa.
-----------------
Changamoto ya Mbowe anadhani watu ni wajinga, wanalaghaika kwa upangaji wa maneno anayoyatamka.

Anafanya makosa sana!

Na Lissu kusema haondoki chama hata kama akishindwa bado kwake Mbowe ni mtihani mkubwa sana!
Alikuwa smart sana kutokuhudhuria mdahalo ule.
 
Back
Top Bottom