CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Kumbe ni nyoka.Mbowe anaongea kama mtu vile
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe ni nyoka.Mbowe anaongea kama mtu vile
Connection zote ziko huko CCM.Mimi nataka kufanya kazi kwenye wizara za serikali
Tatizo vibopa wa Ccm humu wanatumia fake id na wamejikausha ngumu kuwajuaConnection zote ziko huko CCM.
Hivi haya madude anayosoma katibu ameshindwa kuandaa Inform of documentary ili kuokoa muda I display chap mambo mengine yaendelee au ndo kula muda hadi Giza liingie yatimie walotabiri watabiriKatibu tuache kwanza wajumbe tukale.
HATUPELEKI CHAMA KWA MASHOGA - WANACHAMA WA CHADEMA
Katika uchaguzi mkuu wa kumtafuta Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), sauti za wanachama na wajumbe zimetanda mithili ya wingu la mvua, wakiimba kwa nguvu, "Hatupeleki chama kwa mashoga."
Wimbo huo wa aina yake, umevuma kwa kujaza hewa nzito ya msimamo katika ukumbi huo wa uchaguzi.
Wanachama hao, wakiwa na hasira za dhahiri, wamepinga kwa sauti ajenda za kuunga mkono mapenzi ya jinsia moja, zinazotetewa na Makamu Mwenyekiti Tundu Lissu.
Wamesisitiza kuwa hawako tayari kupeleka chama kwa viongozi wanaotetea vitendo vya ushoga na mapenzi ya jinsia moja kwa ujumla.
Kwa msimamo wa chuma, wameonesha kutokubaliana kabisa na ajenda hizo za kigeni, wakieleza kuwa hazina nafasi katika chama chao.
Wahenga hawakukosea waliposema, "Kila ndege huruka na mbawa zake mwenyewe," kwani tayari wanachama wa CHADEMA wameonesha msimamo wa kuzikataa mbawa za kigeni zilizoletwa na Lissu na genge lake
Kasuku
Januari 21, 2025
kutoka ukumbi wa uchaguzi, Mlimani City - Dar es salaam
Kasuku 🦜
Januari 21, 2025
Kutoka Ukumbi wa Uchaguzi, Mlimani City - Dar es Salaam
View: https://www.instagram.com/reel/DFFTvhSsAki/?igsh=MXBvaWR3bnF3aXRqYg==
Mshindi ashinde, yoyote tu kati yao.
Jamaa anashindaKupumzika was the best decision ktk historia ya siasa kwake na kwa CDM. Akisbinda itainekana kwa wengi kuwa amefaidika na uenyekiti wake wa mda mrefu, kama chama tawala popote duniani vinavyonufaika na faida za kuwa watawala kwa mda mrefu
Me sina chama Ila ubaya hauwi halali kwa kuwa mtu mwingine anafanya ubayaMbona miccm imeng'ang'ania madaraka muda wote huo haitaki kutoka?
Tutawatangazia saa 9 usiku! Kuweni wavumilivu!Matokeo bado tu
Kuna wajinga wanajizima data tu!Mbowe kajenga chama, tizama ukumbi ulivyopendeza. Hiyo yote kazi ya mwenyekiti.