Pre GE2025 Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Ni Mbowe au Lissu

  • Mbowe

    Votes: 179 14.7%
  • Lissu

    Votes: 1,038 85.3%

  • Total voters
    1,217
  • Poll closed .
Chadema wanatoa maazimio yao waliyofanya kuhusu wagombea wao kuenguliwa bila sababu za msingi.

Lakini ni hao hao ambao usiku wa jana wameengua wagombea wa team Lissu bila sababu za msingi.

Huku tunakoelekea naona mifano mingi ya uovu itakuwa inatoka ndani ya Chama.
 
HATUPELEKI CHAMA KWA MASHOGA - WANACHAMA WA CHADEMA

Katika uchaguzi mkuu wa kumtafuta Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), sauti za wanachama na wajumbe zimetanda mithili ya wingu la mvua, wakiimba kwa nguvu, "Hatupeleki chama kwa mashoga."

Wimbo huo wa aina yake, umevuma kwa kujaza hewa nzito ya msimamo katika ukumbi huo wa uchaguzi.

Wanachama hao, wakiwa na hasira za dhahiri, wamepinga kwa sauti ajenda za kuunga mkono mapenzi ya jinsia moja, zinazotetewa na Makamu Mwenyekiti Tundu Lissu.

Wamesisitiza kuwa hawako tayari kupeleka chama kwa viongozi wanaotetea vitendo vya ushoga na mapenzi ya jinsia moja kwa ujumla.

Kwa msimamo wa chuma, wameonesha kutokubaliana kabisa na ajenda hizo za kigeni, wakieleza kuwa hazina nafasi katika chama chao.

Wahenga hawakukosea waliposema, "Kila ndege huruka na mbawa zake mwenyewe," kwani tayari wanachama wa CHADEMA wameonesha msimamo wa kuzikataa mbawa za kigeni zilizoletwa na Lissu na genge lake

Kasuku
Januari 21, 2025
kutoka ukumbi wa uchaguzi, Mlimani City - Dar es salaam

Kasuku 🦜
Januari 21, 2025
Kutoka Ukumbi wa Uchaguzi, Mlimani City - Dar es Salaam

View: https://www.instagram.com/reel/DFFTvhSsAki/?igsh=MXBvaWR3bnF3aXRqYg==
 
Attachments

  • ggggggggg.mp4
    44 MB

Wanataka kukipeleka kwa abdul
 
Kupumzika was the best decision ktk historia ya siasa kwake na kwa CDM. Akisbinda itainekana kwa wengi kuwa amefaidika na uenyekiti wake wa mda mrefu, kama chama tawala popote duniani vinavyonufaika na faida za kuwa watawala kwa mda mrefu
Jamaa anashinda
 
Chondechonde Wajumbe wa CHADEMA....Sisi Wtumishi wa UMMA tunaomba mtuletee Tundu Lisu.....Maana tunaamini YEYE atatutatulia Matatizo YETU. Hatuna pa kusemea Maana Nafasi Zote za Uongozi Wanapewa MACHAWA....Tunaamini Akija Lisu Nafasi za Uongozi Zitatokana na Uzoefu na Uwezo....
 
Yawezekana kabisa wanaompenda Mbowe wako Wengi sana na Wanaotaka mabadiliko ni Wachache

Lakini wanaotaka mabadiliko ndio wenye Hoja za Msingi

Ahsanteni Sana 😂

Sisi CCM tunarekodi kila sentenso 🐼
 
Back
Top Bottom