Pre GE2025 Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Pre GE2025 Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Ni Mbowe au Lissu

  • Mbowe

    Votes: 179 14.7%
  • Lissu

    Votes: 1,038 85.3%

  • Total voters
    1,217
  • Poll closed .
NDUGU WAJUMBE TULETEENI LISSU NA HECHE KATAENI RUSHWA KIOKOENI CHAMA.

PEOPLE'S POWER!!!! ✌️

YANGU NI HAYO TU.✌️
Mbowe lazima kwa ukomavu wa chama.

Tizama ukumbi ulivyojaa na kupendeza, yote kafanya mwenyekiti Mbowe.
 
Protocol mbovu, lawama nyingi, zisizo na ushahidi halisi, eti, mkataba mbovu wa bandari, je wanaweza kuthibitisha hilo?
N. B, uchaguzi ufanyike mapema mchana peupe, Usiku una mengi, + kukatika kwa umeme usiku huo, zubaeni muone kazi 😊
 
Mbowe lazima kwa ukomavu wa chama.

Tizama ukumbi ulivyojaa na kupendeza, yote kafanya mwenyekiti Mbowe.
Lengo lenu wanaCCM ni CHADEMA ipuuzwe na Wananchi.

Mnataka hali iwe hivi👇
GfuY-ekXQAAK7pI.jpeg
 
Protocol mbovu, lawama nyingi, zisizo na ushahidi halisi, eti, mkataba mbovu wa bandari, je wanaweza kuthibitisha hilo?
N. B, uchaguzi ufanyike mapema mchana peupe, Usiku una mengi, + kukatika kwa umeme usiku huo, zubaeni muone kazi 😊
Mnyika Kwa makusudi, anapoteza muda ili usiku uingie, CCM waingie kazini
 
Back
Top Bottom