Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kazi anaweza na wengi tumempa recognition ya heshima kwa kazi yake yote nzuri aliyoifanya.Ikimahanisha kazi anaweza
Kapata 10 leo
Najua wengi wenye Mihemko wafata mikumbo lazima wamebaki mataa leo
Sio tu uadilifu wa kisiasa
Wakuu,
Leo mbali na kuwa ni Uchaguzi Mkuu wa CHADEMA pia wanasherekea Miaka 32 ya CHADEMA kupata Usajili wa Kudumu, ambapo ulipatikana Januari 21, 1993.
Mbivu na mbichi kujulikana leo, tumeona mengi na kusikia mengi kila upande ukitetea kwake. Je, nani ataibuka kidedea? Nani atatolewa kimasomaso na wajumbe?
Katika uchaguzi huu wajumbe watachagua Mwenyekiti Taifa pamoja na Makamu Mwenyekiti kwa Bara na Zanzibar, ambako ushindani mkubwa upo kati ya Mbowe na Lissu kwa nafasi ya Uenyekiti, na Wenje na Heche kwa nafasi ya Umakamu Uenyekiti.
Je, ni Mbowe au Lissu? Ni Heche au Wenje?
Orodha ya Wagombea wote ni;
Mwenyekiti Taifa
Makamu Mwenyekiti Bara
- Freeman Mbowe
- Odero Odero
- Tundu Lissu
Makamu Mwenyekiti Zanzibar
- Ezekia Wenye
- John Heche
- Mathayo Gekul
- Hafidh Saleh
- Said Issa Mohammed
- Said Mzee Said
- Suleiman Makame Issa
Wagombea Wanatoa Salamu kwa Wageni Waalikwa na Wapiga Kura
Tundu Lissu
Lissu amshukuru Mwenyekiti wa Chama, Freeman Mbowe kwa kufanya nae kazi kwa kipindi cha miaka 20, licha ya kutofautiana kimitazamo lakini amekiri hawajawahi kugombana.
"Nimekaa pembeni ya Mwenyekiti wetu wa Chama mfululizo kwa miaka zaidi ya 20 na katika kipindi chote hicho hatajawahi kugombana, hatujawahi kupigana mimi na yeye binafsi. Ndio tumetofautiana kimsimamo lakini hatujawahi kugombani"
Freeman Mbowe
"Hiki chama tunawajibu wote wa kibinadamu na Wakimungu wakukilinda kwa gharama yoyote ile, na chama hiki hatutakiruhusu kwa gharama yoyote eti kwasababu pengine kura za mbowe hazikutosha au kura za Mhe. Lissu hazikutosha ama za Mhe. Odero yule mzee wetu wa kesho kuna mwanga kwamba kura hazijatosha".
"Uchaguzi huu usiwe vita unapashwa kuwa furaha ya ujenzi wa demokrasia"
"Wako watabiri wengi sana wamesema kuhusu uchaguzi wa CHADEMA, Mhe. Mbowe unaenda kukipasua chama, Mhe. Mbowe inakuaje, hawa ni wanademokrasia, wote kama mnavyowaona. Tofauti zetu kwenye mitazamo hii naamini tunakwenda kuizika mwisho wa kikao hiki tunanelea mbele stronger together"
Updates za Matukio
Kazi anaweza na wengi tumempa recognition ya heshima kwa kazi yake yote nzuri aliyoifanya.
Ila kwa aina ya mpinzani alikuwa naye na aina ya siasa ambazo Lissu anazifanya hapo ndio tunapoamua kuchagua mtoa siri dhidi ya mwenye busara.
Azuie ili atukanwe kwamba yeye ni dikteta?Sasa mungu kwanini asitumie ukuu wake kuzuia Hilo lisitokee.
Ni kweli mkuu. Lakini dalili tu zimeonekana, kwa maana ninawaangalia hapa mkutano unavyoendea. Kama itakuwa vinginevyo nitamshukuru Mungu.Mbona kura bado?
Mungu Mbariki Lissu, Ibariki TanzaniaHiyo mvua hapo jijini daslamu ni ishara ya ushindi kwa Lissu 🔥
Chadema sio ya kitotoInchi IMESISIMAMA
TayariKwani Lissu kesha ongea?
Huyo sio Lissu.Haya nyie uamuzi wenu burudani kwa nchi
Akichukua cheo atanyamaza sanaaaaa, ata badilika mtamshangaaaaaa 😉
Mkuu. Kwa umasikini wa waafrika, kumshinda tajiri ni kazi kubwa sana. Mimi nimejiandaa kisaikolojia. Hatuna chetu.Naona mwamba anajifanya kuzungumzia umoja baina ya wanachama baada ya uchaguzi.
Huyu Mzee anadhani watu ni wajinga.
Ila siyo mbaya! Maamuzi ni yao wenyewe wana Chadema. Wakiamua kukikuza chama chao ni wao wenyewe na wakiamua kukiuwa chama chao ni wao wenyewe.
Tujiandae kuhama na Lissu wetu.Mungu Mbariki Lissu, Ibariki Tanzania
mwisho wa ujanja-ujanja mefikaMbowe anajifanya kuiponda CCM wakati awamu hii yamkini wao ndo wamemuweka hapa.
Mimi siko kwenye active politics,mimi ni mkunja ngumi tu wala sitamani kuwa na cheo chochote sitaki kupoteza uhuru wangu.Wewe umejishusha una cheo gani?😉
Mimi nataka kufanya kazi kwenye wizara za serikaliMimi siko kwenye active politics,mimi ni mkunja ngumi tu wala sitamani kuwa na cheo chochote sitaki kupoteza uhuru wangu.