Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Ye mwenyewe si msafi atawezaje?Mbowe amesema wakimaliza uchaguzi ni lazima wasafishe nyumba yao...hui uchafu ni upi unaotakiwa kusafishwa?🐼
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ye mwenyewe si msafi atawezaje?Mbowe amesema wakimaliza uchaguzi ni lazima wasafishe nyumba yao...hui uchafu ni upi unaotakiwa kusafishwa?🐼
Uchaguzi wetu Chadema mbona unaushobokea sana? 🤣
Huyu ni bingwa wa kuongea kwenye mazingira ya kusikilizwa tu.Ananadi sera huyu Mzee!
Jamaa anazingua sana.Mbowe amesema wakimaliza uchaguzi ni lazima wasafishe nyumba yao...hui uchafu ni upi unaotakiwa kusafishwa?🐼
Huyu ni bingwa wa kuongea kwenye mazingira ya kusikilizwa tu.
Lakini kwenye mazingira ya kuhojiana hawezi na ndio maana alikacha mdhahalo.
Kukimbia mdahalo ni tatizo kubwa sana kwa yeyote mwenye akili anajua wazi kuwa Mbowe ni mlaghai wa kisiasa.Huyu ni bingwa wa kuongea kwenye mazingira ya kusikilizwa tu.
Lakini kwenye mazingira ya kuhojiana hawezi na ndio maana alikacha mdhahalo.
Wachache sana watakuelewa.Hahaha mnabeba stress zisizo zenu kabisa.
Nafikrii tayari, jamaa ningetamani sana kumsikiliza. Lissu hachoshi.Lissu ameshaongea?!
Yap Lissu matokeo yeyote yatayokuja bado atakuwa mshindi tu.Kukimbia mdahalo ni tatizo kubwa sana kwa yeyote mwenye akili anajua wazi kuwa Mbowe ni mlaghai wa kisiasa.
-----------------
Changamoto ya Mbowe anadhani watu ni wajinga, wanalaghaika kwa upangaji wa maneno anayoyatamka.
Anafanya makosa sana!
Na Lissu kusema haondoki chama hata kama akishindwa bado kwake Mbowe ni mtihani mkubwa sana!
Alikuwa smart sana kutokuhudhuria mdahalo ule.Kukimbia mdahalo ni tatizo kubwa sana kwa yeyote mwenye akili anajua wazi kuwa Mbowe ni mlaghai wa kisiasa.
-----------------
Changamoto ya Mbowe anadhani watu ni wajinga, wanalaghaika kwa upangaji wa maneno anayoyatamka.
Anafanya makosa sana!
Na Lissu kusema haondoki chama hata kama akishindwa bado kwake Mbowe ni mtihani mkubwa sana!
Bila shaka utabubujikwa machozi ya furaha na kulia kwa kwikwi huku ukigalagala chinihaa
Haa atabubujikwa na machozi amekuwa Lucas Hebel Mwashambwa?ila huyu bwana mamlaka zimuangalie ateuliwe,anaelezea sana kazi alizozifanya RaisHaa una uta