Pre GE2025 Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Pre GE2025 Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Ni Mbowe au Lissu

  • Mbowe

    Votes: 179 14.7%
  • Lissu

    Votes: 1,038 85.3%

  • Total voters
    1,217
  • Poll closed .
Haya matokeo yameshapangwa lissu anajisumbua tu mbowe lazima apite .

Hata ccm wanatamani mbowe apite maana ni mtu wao.
Na huo ndio utakuwa mwisho wa chadema.
 
Mpo salama!

Umepewa nafasi ya kujitafakari, watu wamekuheshimu ndio maana wamekupa nafasi hiyo. Hutaki.

Umeingia kwenye kinyang'anyiro. Watu wameimba weee! Wamekubembeleza wewe! Hautaki.

Sasa utamlaumu Nani?
Leo Mzee wetu utatusamehe. Ni kipigo cha Mfano ili iwe fundisho kwa wengine.

Maandalizi ya sherehe ya ushindi yamekamilika.

Poleni wote Mlioshindwa, lakini mlichagua kushindwa tangu mwanzo

Tunatazama!
 
Wewe tulia usubiri matokeo , hiz zinaitwa bla bla
 
Hivi hiyo podium wameshindwa kuiweka smart ?imepigwa pini kama fundi anaunda sofa.
Mbowe must go .Karibu machame mangi
 
Lissu anafika bei!
Sasa hivi anakaza ili atimize hadhma ya kua mwenyekiti.

Muda utaongea
Hivi unajua sababu ya Mbowe kuwekewa huo mzigo? Nikusaidie,Mbowe kawekewa huo mzigo ili kumdhibiti Lissu asiwe mwenyekiti wala mgombea Urais, sasa hapo Lissu apewe hela ili iweje? It's just a simple logic.
 
Mbowe kaanza kupewa pesa na Ccm kitambo
Nyie wafuasi wake ndio mmechelewa kujua
 
Back
Top Bottom