Pre GE2025 Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Pre GE2025 Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Ni Mbowe au Lissu

  • Mbowe

    Votes: 179 14.7%
  • Lissu

    Votes: 1,038 85.3%

  • Total voters
    1,217
  • Poll closed .
==
Mbowe anaitwa yeye ndio Alpha na Omega na hajawahi kukanusha kwamba si kweli kwamba yeye ni Alpha na Omega maana yake alikiri yeye ni Alpha na Omega,

Leo Mungu ndio atamuonesha wazi Mbowe kuwa yupo Alpha na Omega ambae anawivu sana.

LAZIMA MUNGU AONESHE NGUVU ZAKE LEO.
Kujaribu kubeba title ya Mungu ni kujitafutia tu mabalaa na maangamizo
 
MC sijui nani nae.. Mmmmh

Anawesa wesaaaa.. Kutambulisha wageni

Kwani hakufahamu watapata wageni mapema?

Chadema wanapenda misaada ila headphones za translator hao wasikie hakuna kitu..

Hakika mumechemsha sanaaaa
 
Wanasiasa bhana.. Motive zao

Mimi ikifika miaka 68 nita achia chama kama mtangulizi wangu..

Mwingine..

Nilipoona kamwambia flani agombee nafasi yangu nikasema nami nigombee ya aliyo mtuma..

Hawa ndio wanategemewa kama wapinzani..
Kwahiyo we umeyashika hayo tu
 
Back
Top Bottom