Pre GE2025 Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Ni Mbowe au Lissu

  • Mbowe

    Votes: 179 14.7%
  • Lissu

    Votes: 1,038 85.3%

  • Total voters
    1,217
  • Poll closed .
Mkuu umeiyonaa hiyooo?!!! Watu wanataka mabadiliko yaanzie ndani ya chama ili kuleta uhalisia. Ila kumbuka mabadiliko yanatisha..
 
Attachments

  • Screenshot_20250121-110800.jpg
    Screenshot_20250121-110800.jpg
    181.1 KB · Views: 1
Nafatilia mubashara matangazo ya mkutano mkuu wa CHADEMA kupitia UTV, kiukweli hali ni ngumu sana kwa Mbowe! Kila mjumbe anayehojiwa anazungumzia mabadiliko na namna alivyojipanga kumpa kura yake Lissu. Kweli mchezaji bora ni yule anayejua wakati sahihi wa kushuka jukwaani.
Ikitokea Mbowe akashinda basi ajipange kuongoza chama mfu.
Mbowe yuko vizuri sana, hadi sasa wapiga kura wake wako kimyakimya. wanakamata mwizi men.
 
Nafatilia mubashara matangazo ya mkutano mkuu wa CHADEMA kupitia UTV, kiukweli hali ni ngumu sana kwa Mbowe! Kila mjumbe anayehojiwa anazungumzia mabadiliko na namna alivyojipanga kumpa kura yake Lissu. Kweli mchezaji bora ni yule anayejua wakati sahihi wa kushuka jukwaani.
Ikitokea Mbowe akashinda basi ajipange kuongoza chama mfu.
watu wa mbowe hawana mchecheto kama walivyo wa lisu.
wa mbowe wametulia kama alivyo mbowe
 
Nafatilia mubashara matangazo ya mkutano mkuu wa CHADEMA kupitia UTV, kiukweli hali ni ngumu sana kwa Mbowe! Kila mjumbe anayehojiwa anazungumzia mabadiliko na namna alivyojipanga kumpa kura yake Lissu. Kweli mchezaji bora ni yule anayejua wakati sahihi wa kushuka jukwaani.
Ikitokea Mbowe akashinda basi ajipange kuongoza chama mfu.
KUMBUKA PIA WAZANZIBAR WOTE 100% WATAMPIGIA MBOWE.Hawawezi kumpigia LISu ambaye aliwasema
 
Kwa ground hali ni tofauti kabisa ... mwamba anaibuka leo kidedea
Ground ya wapi hiyo wakati kila kitu sasa hivi kipo ukumbini na hao wajumbe nao wako ndani ya jengo la pembe nne na kauli hizo zinatoka ndani ya jengo hilo?

Au kuna mkutano mwingine wa jamaa wale "WASIOJULIKANA" wako ground somewhere wana u - remote mkutano wote na wajumbe in favour of Mbowe..?

This time mtajua tu kuwa kumbe yupo Mungu wa haki aliyeamua kuidhihirisha haki yake dhidi ya watoa rushwa..!!
 
nimejaribu kutafuta live updates pasina mafanikio mimi kama kijana ninaependa SIASA na kwa kuzingatia kauli ya mwenyekiti wa chama hicho akihojiwa na moja ya media alisema mkutano utakuwa live na hata huo uchaguzi utakuwa live hatua kwa hatua ili kusiwepo mkanganyiko baada ya uchaguzi juzi CHAMA TAWALA wameweka mambo yao hadharani na watanzania wameona kila hatua jambo ambalo limesaidia kuepusha sintofahamu baada ya mkutano ule kuamua kupitisha majina ya wagombea wao wajao kwa Bara na visiwani tafadhali kama kuna mahali pa kustream live tupeane updates watu tuone Demokrasia kama kweli imetawala au ni blah blah watu wanatoana nundu gizani
 
Aise ngoja tusubirieeee
Maana kura za mtandaoni lissu
Anamkimbiza mbowe
Ngoja tuone huko kwenye box 😄

Ova
Katiba ingeruhusu tukapiga kura huku ground mbowe angepata aibu ya karne!!.
 
nimejaribu kutafuta live updates pasina mafanikio mimi kama kijana ninaependa SIASA na kwa kuzingatia kauli ya mwenyekiti wa chama hicho akihojiwa na moja ya media alisema mkutano utakuwa live na hata huo uchaguzi utakuwa live hatua kwa hatua ili kusiwepo mkanganyiko baada ya uchaguzi juzi CHAMA TAWALA wameweka mambo yao hadharani na watanzania wameona kila hatua jambo ambalo limesaidia kuepusha sintofahamu baada ya mkutano ule kuamua kupitisha majina ya wagombea wao wajao kwa Bara na visiwani tafadhali kama kuna mahali pa kustream live tupeane updates watu tuone Demokrasia kama kweli imetawala au ni blah blah watu wanatoana nundu gizani
nimejaribu kutafuta live updates pasina mafanikio mimi kama kijana ninaependa SIASA na kwa kuzingatia kauli ya mwenyekiti wa chama hicho akihojiwa na moja ya media alisema mkutano utakuwa live na hata huo uchaguzi utakuwa live hatua kwa hatua ili kusiwepo mkanganyiko baada ya uchaguzi juzi CHAMA TAWALA wameweka mambo yao hadharani na watanzania wameona kila hatua jambo ambalo limesaidia kuepusha sintofahamu baada ya mkutano ule kuamua kupitisha majina ya wagombea wao wajao kwa Bara na visiwani tafadhali kama kuna mahali pa kustream live tupeane updates watu tuone Demokrasia kama kweli imetawala au ni blah blah watu wanatoana nundu gizani
azam kupitia itv channel
 
CV ya Lissu ni kubwa sana ktk harakati za upinzani Tanzania. Naweza kusema huwezi kuwataja wapinzani wa CCM bila kumtaja Lissu. Licha ya huvyo Lissu hakumfikia marehemu Seif jinsi ya kuisumbua CCM.
Seif licha ya kutokuwa kiongozi mkuu wa Cuf yaani Mwenyekiti lkn aliitikisha sana CCM hadi kufikia miafaka zaidi ya 3 na hatimae ikaundwa serekali ya kitaifa.
Maalim alianziasha harakati za jino kwa jino lakini pia harakati za maridhiano.
Maalim alifariki akiwa na heshima kubwa ktk siasa za upinzani.
LISSU.
Lissu licha ya kuwa mpinzani lkn mtego aliongia ushammaliza kisiasa. Mtego wa kutaka kuisambaratisha chadema kupitia lema na Heche limemtoa kabisa ktk siasa za chadema.
Tumuombeeni sana Lissu ktk siasa za upinzani. Lilobaki aende CCM akamalizie maisha yake
Lissu nje ya chadema hawezi kuendesha siasa. Siasa za lissu litigemea chadema.
Kwa hivyo za kumuombea lissu baada ya kushindwa ni muhimu
Zanzibar ni kaeneo kadogo sn ukilinganisha na bara
 
Back
Top Bottom